4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
huez fananisha wacongo na wa ukraine labda uwe chiz , wacongo Hawajielew ila wa ukraine wanapambana na GiantCongo kwa kelele na mbwembwe huko Twitter unaweza kudhani Ni Superpower au iko inashinda Vita kumbe wanajeshi wake wanapewa kichapo mpaka wanakimbilia Uganda.
Watu wa Congo nawafananisha na wananchi wa Ukraine Kule Twitter yaani wanakula kichapo kila siku wanakufa kwa mamia lkn wako bize na Slava Ukraine Slava Ukraine Slava Ukraine [emoji1][emoji1]