Mwanajeshi Comando mmoja wa DRC aivamia Rwanda

Mwanajeshi Comando mmoja wa DRC aivamia Rwanda

Congo kwa kelele na mbwembwe huko Twitter unaweza kudhani Ni Superpower au iko inashinda Vita kumbe wanajeshi wake wanapewa kichapo mpaka wanakimbilia Uganda.

Watu wa Congo nawafananisha na wananchi wa Ukraine Kule Twitter yaani wanakula kichapo kila siku wanakufa kwa mamia lkn wako bize na Slava Ukraine Slava Ukraine Slava Ukraine [emoji1][emoji1]
huez fananisha wacongo na wa ukraine labda uwe chiz , wacongo Hawajielew ila wa ukraine wanapambana na Giant
 
Mgogoro ukiendelea kujichochea. Waasi wa M23 kwa kutumia RPG 7 wametungua Helicopter ya jeshi la DRC.

Screenshot_2022-06-18-10-49-34-1125419024.jpg
 
Hali ikiendelea kutokota Rais wa DRC ametangaza kufunga mipaka yote ya DRC na Rwanda
Screenshot_2022-06-18-10-50-00-1458644829.jpg
 

Tazama makumi elfu ya wakazi wa Jiji la Goma DRC walivyopokea mwili wa Komandoo husika.

Wananchi wanaichangia familia yake fedha kwa kasi kubwa.

Kuna uamsho mkwa wa Kongom kupinga fitina za Rwanda.
Hii morali ingekuwepo kupinga M23 aisee wangekua Salama
 

Tazama makumi elfu ya wakazi wa Jiji la Goma DRC walivyopokea mwili wa Komandoo husika.

Wananchi wanaichangia familia yake fedha kwa kasi kubwa.

Kuna uamsho mkwa wa Kongom kupinga fitina za Rwanda.
Sasa Congo wanafeli wapi wakati wananchi wanaonesha kabisa wanaiunga mkono nchi yao.
 
Kagame shame on you

Rais wa Kenya last month aliitisha mkutano huko Nairobi wa kutafuta amani ya DRC jamaa aliwaita marais wa burundi, uganda, Drc na baadhi ya makundi, jamaa hakuwa makini kumuita PK, in case kama.alimwita na kama alikataa means alipuuzia na baada ya ule mkutano naona mambo ndio yakazid kuharibika zaidi

Nafikir imefikia muda sasa mbivu mbichi ijulikane
Muovu anajijua tuu.
 
Ndo makomando wetu hao mbinu kisoda kazi kubeba mabegi makubwa na magogo ya miti tu
Wakati unawadharau tambua kazi nzuri walizowahi kuzifanya.

1. Walifanya harassment kubwa sana dhidi ya Iddi Amin wakati wa vita.
2. Kuzima mapinduzi Seychelles
3. Kumng'oa Col. Beka wa Comoros
4. Operation mbali mbali kwenye mission ikiwemo kuwabamiza wale bandits M23.
5. Operations nyingine mbali mbali ndani na nje ya nchi.

Jeshi la nchi halina majisifu lakini linafanya kazi kubwa sana kuhakikisha usiku ukilala uachie gesi ya msimbati bila wasi wasi.
 
Wapumbavu pekee ndio watabeza kazi iyofanya na huyu Mwamba . Amethubutu kufanya kile Askari mzalendo angetamani kufanya mbinu zake kufeli sio sababu Cha msingi ujumbe umefika na amechochea hisia kwa Askari na raia wazalendo
Mwili wake umepewa heshima kama Rais huko Goma. Wananchi wanamtaka ajengewe statue mpakani View attachment 2264227
 
Vana Congo ndenge nini? Lazima nije niwatembelee One day
Nalog off Z
 

Tazama makumi elfu ya wakazi wa Jiji la Goma DRC walivyopokea mwili wa Komandoo husika.

Wananchi wanaichangia familia yake fedha kwa kasi kubwa.

Kuna uamsho mkwa wa Kongom kupinga fitina za Rwanda.

Hongera kwa wana Congo kwa uzalendo wao,wasiishie hapo tu waendeleze kisasi zaidi.
Nalog off Z
 
Mwanajeshi mmoja wa jeshi la DRC liitwalo FARDC ameivamia nchi ya Rwanda Leo trh 17.06.2022 alfajiri. Jamaa akiwa na bunduki aina ya AK 47 amaevamia post ya mpaka na kuingiza nchini Rwanda.

Jamaa amewasambilia wanajeshi wa Rwanda na kuua watatu na kujeruhi wengine.

Aidha Jeshi la Rwanda limefanikiwa kumuua.

Japokua jeshi La Rwanda limekanusha kuuwawa kwa maasikari wao lakini video mitandao zinathibitisha kuuwawa kwa maasikari hao.

Joto kati ya DRC na Rwanda linazidi kuongezeka.
Nchi ya Rwanda chini ya Kagame haipaswi kuwemo kwenye Ramani ya Afrika. That's, it should be erased!!!
 


Tazama maisha ya Wahutu huko Rwanda. Anachapwa makofi Lisa kaongea na media
 
Back
Top Bottom