Mwanajeshi fake

ShyaRuwa

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
7,895
Reaction score
13,643
Nilimzaba kofi mwanajeshi mmoja akakimbia nikajua ni fake....tafadhali tuungane kutokomeza askari jeshi fake nchini, kivipi???
Kwa kumchapa kibao mwanajeshi yeyote utakayemuona leo, akikimbia basi ni fake, asipokimbia Mungu akutie nguvu.
 
Amen..
 
haahahah mi simo ukipotezewa pumzi ndani ya dakika moja baada ya kutupiwa konde la maana pale kwenye spot maalumu kwenye mwili wako ndio utajua ufake wa mwanajeshi.
 
Kama ''spot maalumu'' ni original hazitapasuka...ungana na jamii kutokomeza wanajeshi fake...usisite kujaribu.
 
Mi naona kuna mtu ana ham ya kubeba dunia!![emoji86] [emoji86]
 
Mwenzako alijaribu kilicho mkuta hichi
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1471625299783.jpg
    30.1 KB · Views: 37
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…