PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Hawana huruma hao sio wakuwajaribu kabisa!dah halafu wamekaa pembeni anapiga zao story
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana huruma hao sio wakuwajaribu kabisa!dah halafu wamekaa pembeni anapiga zao story
kama ni jokes au utoto huu umezidiNilimzaba kofi mwanajeshi mmoja akakimbia nikajua ni fake....tafadhali tuungane kutokomeza askari jeshi fake nchini, kivipi???
Kwa kumchapa kibao mwanajeshi yeyote utakayemuona leo, akikimbia basi ni fake, asipokimbia Mungu akutie nguvu.
ni wakukaa nao mbaliHawana huruma hao sio wakuwajaribu kabisa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji125] [emoji125] [emoji125] au shetani akupunguzie maumivuNilimzaba kofi mwanajeshi mmoja akakimbia nikajua ni fake....tafadhali tuungane kutokomeza askari jeshi fake nchini, kivipi???
Kwa kumchapa kibao mwanajeshi yeyote utakayemuona leo, akikimbia basi ni fake, asipokimbia Mungu akutie nguvu.
Hahahahaa...ndo maana madaktari wanashahuri kutembea na pain killer...coz huwezi kujua muda wala saa yatakapokuja maumivu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji125] [emoji125] [emoji125] au shetani akupunguzie maumivu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahahaa...ndo maana madaktari wanashahuri kutembea na pain killer...coz huwezi kujua muda wala saa yatakapokuja maumivu.
😀😀😀😀 Mkuu hiyo avatar yako inaonesha jinsi ulivyotayari....Hawa wa sentiro unaweza kupiga ata tano...we jitahidi tu umkamue walau mjeda mmoja ili kujua kama ni fake.Hawa. Hapana. Labda hawa wa SENTRO naweza kuzipanga nao huku nikiwa nimeshakariri njia ya IKANGAA au BAYI.
Utaomba ardhi ipasuke uingie...sitaki kusikia hawa watu.Hahahahaa...ndo maana madaktari wanashahuri kutembea na pain killer...coz huwezi kujua muda wala saa yatakapokuja maumivu.