Mwanajeshi fake

Mwanajeshi fake

Nilimzaba kofi mwanajeshi mmoja akakimbia nikajua ni fake....tafadhali tuungane kutokomeza askari jeshi fake nchini, kivipi???
Kwa kumchapa kibao mwanajeshi yeyote utakayemuona leo, akikimbia basi ni fake, asipokimbia Mungu akutie nguvu.
kama ni jokes au utoto huu umezidi
 
Nilimzaba kofi mwanajeshi mmoja akakimbia nikajua ni fake....tafadhali tuungane kutokomeza askari jeshi fake nchini, kivipi???
Kwa kumchapa kibao mwanajeshi yeyote utakayemuona leo, akikimbia basi ni fake, asipokimbia Mungu akutie nguvu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji125] [emoji125] [emoji125] au shetani akupunguzie maumivu
 
Hawa. Hapana. Labda hawa wa SENTRO naweza kuzipanga nao huku nikiwa nimeshakariri njia ya IKANGAA au BAYI.
 
Hawa. Hapana. Labda hawa wa SENTRO naweza kuzipanga nao huku nikiwa nimeshakariri njia ya IKANGAA au BAYI.
😀😀😀😀 Mkuu hiyo avatar yako inaonesha jinsi ulivyotayari....Hawa wa sentiro unaweza kupiga ata tano...we jitahidi tu umkamue walau mjeda mmoja ili kujua kama ni fake.
 
1471711117535.jpg
 
Mwanajeshi awe feki au orijinali simjaribu kamwe
 
Back
Top Bottom