jangala
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 1,583
- 2,365
Ukiona giza ujue mwanga hakuna....sitaki hata kukumbuka ilikuwaje...ila nililazwa siku nne kwa kazi ya dakika mbili tu...Mkuu kwanini hutaki kuwasikia??? umewahi kuingia kwenye 18 zao ??? au umewahi kuwaona wakiwa wanamkeketa mtu???