Mwanajeshi fake

Mwanajeshi fake

Mkuu kwanini hutaki kuwasikia??? umewahi kuingia kwenye 18 zao ??? au umewahi kuwaona wakiwa wanamkeketa mtu???
Ukiona giza ujue mwanga hakuna....sitaki hata kukumbuka ilikuwaje...ila nililazwa siku nne kwa kazi ya dakika mbili tu...
 
Ukiona giza ujue mwanga hakuna....sitaki hata kukumbuka ilikuwaje...ila nililazwa siku nne kwa kazi ya dakika mbili tu...
Lol pole sana, uzuri wale jamaa hawaui ila cha moto hutakiona...bila shaka hawakuwa fake hao.
 
Back
Top Bottom