Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen..Nilimzaba kofi mwanajeshi mmoja akakimbia nikajua ni fake....tafadhali tuungane kutokomeza askari jeshi fake nchini, kivipi???
Kwa kumchapa kibao mwanajeshi yeyote utakayemuona leo, akikimbia basi ni fake, asipokimbia Mungu akutie nguvu.
Kama ''spot maalumu'' ni original hazitapasuka...ungana na jamii kutokomeza wanajeshi fake...usisite kujaribu.haahahah mi simo ukipotezewa pumzi ndani ya dakika moja baada ya kutupiwa konde la maana pale kwenye spot maalumu kwenye mwili wako ndio utajua ufake wa mwanajeshi.
Endelea kuwapiga vibaoHivi wanafumuaga marinda ee??? tafadhali tumia ushahidi kunijibu.
mmh wale jamaa si wakugusaKama ni fake atakimbia, na kama ni original hata wewe ni original kwahiyo hakitaharibika kitu.
dah halafu wamekaa pembeni anapiga zao storyMwenzako alijaribu kilicho mkuta hichi