jangala JF-Expert Member Joined Feb 17, 2014 Posts 1,583 Reaction score 2,365 Aug 20, 2016 #41 CHAMITON said: Mkuu kwanini hutaki kuwasikia??? umewahi kuingia kwenye 18 zao ??? au umewahi kuwaona wakiwa wanamkeketa mtu??? Click to expand... Ukiona giza ujue mwanga hakuna....sitaki hata kukumbuka ilikuwaje...ila nililazwa siku nne kwa kazi ya dakika mbili tu...
CHAMITON said: Mkuu kwanini hutaki kuwasikia??? umewahi kuingia kwenye 18 zao ??? au umewahi kuwaona wakiwa wanamkeketa mtu??? Click to expand... Ukiona giza ujue mwanga hakuna....sitaki hata kukumbuka ilikuwaje...ila nililazwa siku nne kwa kazi ya dakika mbili tu...
ShyaRuwa JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 7,895 Reaction score 13,643 Aug 20, 2016 Thread starter #42 jangala said: Ukiona giza ujue mwanga hakuna....sitaki hata kukumbuka ilikuwaje...ila nililazwa siku nne kwa kazi ya dakika mbili tu... Click to expand... Lol pole sana, uzuri wale jamaa hawaui ila cha moto hutakiona...bila shaka hawakuwa fake hao.
jangala said: Ukiona giza ujue mwanga hakuna....sitaki hata kukumbuka ilikuwaje...ila nililazwa siku nne kwa kazi ya dakika mbili tu... Click to expand... Lol pole sana, uzuri wale jamaa hawaui ila cha moto hutakiona...bila shaka hawakuwa fake hao.