Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

Huyu watamcourt marshal tu, kajitoa muhanga kwa sheria zetu mbovu za jeshi ni uasi kafanya! Ila katoa message muhimu sana kuonyesha wanasiasa kwamba wanajeshi tena hata maofisa hawaridhiki na hali hata kama wanawalipa fweza zaidi
Mkuu ukishindwa kuelewa kuwa huyu katumwa tu basi mkuu tukuache hivihivi!!
Mange alipost mjeda akisema hawamkubali mama leo kainuka MJEDA LIVE TENA MCHANA KWEUPE amesema bado unasema jamaa atahukumiwa? sahau
 
Bahati haiji mara mbili, Gwajiboy atumie njia hiyo akapaa kama anaenda mbinguni, kinyonga nae akapita na upepo huohuo, mzee ulipaswa uje na mbinu hata ya bunduki kama jina lako lilivyo, achana na taarabu za mzee Yusufu na maneno mengi kama ya dj rufufu.
 
Hii haijawahi kutokea mchini! Labda wanansiada na jeshi waje watuambie kama huyu Kamanda siyo Mzalendo wetu. What a Hero!!! Hongera sana Captain kwa kujitoa mhanga kulikomboa hili Taifa linalochezewa na wapuuzi wachchae kwa matakwa yao.
 
Back
Top Bottom