Chapa viboko vya macho na mabango yake, Abdul niachieni mimi.Nimeona hio video hadi nimelia..
Yaani kummmk Samia ajiandae, tarehe 29 OCT hapatoshi..
WAHUNI WAKAMATWE MKUUAmesemaje tunaomba ufupusho
Traore ajayeHuyu ameweka historia
Mkuu ukishindwa kuelewa kuwa huyu katumwa tu basi mkuu tukuache hivihivi!!
Mange alipost mjeda akisema hawamkubali mama leo kainuka MJEDA LIVE TENA MCHANA KWEUPE amesema bado unasema jamaa atahukumiwa? sahau
Captain ametema checheGlitch katika mfumo.
Ball is rolling
Dogo acha vituko jamviniNunua simu ya maana
Ameshasema anajua madhara ya anachokifanya, tumuombee na kuwa nyuma yake...wengi wetu tumeichoka ccm.Naongelea sheria za kijeshi ambazo niliziishi, siongelei emotions, kama wamemtuma probably watamlinda! How? Wanajua wenyewe, but kwa NDA na regulations zake kwa mwanajeshi tena afisa kumpinga rais hadharani ni uasi!