🤔🤔Asa itakuwaje kwa samia jamani!
Zile kampeni itakuwaje?
🤔🤔Asa itakuwaje kwa samia jamani!
Zile kampeni itakuwaje?
Unaongea nini wewe? Mavuno ya dengu na ngwara lini hapo simanjiro? Eti dogo mkaldayo naye mkulima. Fani ya ukulima imevamiwa.Hasta la victoria siempre
Uliziishi wapi wewe ndezi acha kujifanya ujuaji mwingi mamaezako wewe ulishawahi kukuhukumiwa hata mara moja huko court marshal? Stupid
Tuelimishe just in case Kuna kesi utaratibu ukoje? Kina Katuga watahusika au huko Kuna wanasheria wao na maelekezo toka juu yanatekelezeka?Naongelea sheria za kijeshi ambazo niliziishi, siongelei emotions, kama wamemtuma probably watamlinda! How? Wanajua wenyewe, but kwa NDA na regulations zake kwa mwanajeshi tena afisa kumpinga rais hadharani ni uasi!
Tumefikishwa hapaTumefika hapa!!
Wewe unaitakia mema Nchi.Naongelea sheria za kijeshi ambazo niliziishi, siongelei emotions, kama wamemtuma probably watamlinda! How? Wanajua wenyewe, but kwa NDA na regulations zake kwa mwanajeshi tena afisa kumpinga rais hadharani ni uasi!
Lucas ni Kamanda asiyekuwa Mzalendo.TANZANIA BILA VYAMA VYA SIASA ITABAKI NGANGARI.Kwa mbali namuona Lucas Mwashambwa anajinyea kwa hofu.
Lucas jiandae, makamanda wanakuja kukunyofoa firigisi.
Utatueleza mlimfanya nini Magufuli. Ukibisha utabinywa pumbuh mpaka usage meno.
Cc: narogo Stuxnet
Walitaka waooTumefika hapa!!
Mahakama ya Jeshi sio Mahakama hizo zenu za raia, acha hizo basi hivi hujui kua wanajeshi nao wanasoma sheria na wana watu wao waliobobea kwenye masuala ya sheria? Sasa hao kulee ndio wanaowatumia wao wanaishi dunia yao kesi zao hazichangamani na raia zinamalizika kulekule ila tu km amefanya kosa lolote hususani la jinai kwa raia anavushwa anakuja kuhukumiwa na raia rejea hukumu ya nyundo na wenzieTuelimishe just in case Kuna kesi utaratibu ukoje? Kina Katuga watahusika au huko Kuna wanasheria wao na maelekezo toka juu yanatekelezeka?
Tuelimishe just in case Kuna kesi utaratibu ukoje? Kina Katuga watahusika au huko Kuna wanasheria wao na maelekezo toka juu yanatekelezeka?
Inapendeza makuu. Huku kwetu hedhi kwa jirani Gachagua The sixth.Yeah nahisi poa katumwa na wakubwa zake huko Jeshini..na wenda wamedhamiria. Sidhani kama amekurupuka
Upo sahihi mkuuHahaha na watanzania walivyo wajinga ukisoma comments wameamini kwamba tesha ni capten jeshi
Ngangari Ngunguri.TANZANIA BILA VYAMA VYA SIASA ITABAKI NGANGARI.