The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Dogo mkaldayo Crystal palace na Galatasaray hahahaHasta la victoria siempre
Dogo mkaldayo Crystal palace na Galatasaray hahahaHasta la victoria siempre
Jamaa ameongea akiwa emotional sana hiko kipande.
Mwanaume Haogopi Kufa Akipigania Haki Mkuu.Ataanza kuugua punde
Halafu ana shida ya kifua huyo kwa muda
It's not a bad move, hata moto lazima uanze na cheche mkuu.Wako wengi, This move was supposed to be sometimes mwishoni mwishoni.
Mimi naona yuko sahihi. Kwa sababu nchi haina Rqis! Na badala yake ina mmama tu aliyetangulizwa mbele, halafu wahuni wanatawaa huku wakiwa wamejificha nyuma yake. Na mhuni namba moja ni huyo mzee mstaafu (mzee wa hovyo kabisa huyu kuwahi kutokea nchini) aliyetajwa mara nyingi na huyo Captain.Naongelea sheria za kijeshi ambazo niliziishi, siongelei emotions, kama wamemtuma probably watamlinda! How? Wanajua wenyewe, but kwa NDA na regulations zake kwa mwanajeshi tena afisa kumpinga rais hadharani ni uasi!
Sio huyo, yupo aliye nyuma na wana muogopa Sana.Baada ya ukombozi wa nchi huyu Captain Tesha ndio CDF wetu.
Weka hii kwenye bookmark utaitumia kama reference baadaye.
Acha kujadili upumbavu wakati kuna masuala ya msingi yakujali mbusi wewe. Umekimbia nchi nyau wewe tukiikomboa ili urudi nchini ukishuka pale KIA tunakucharaza ng'udi zakutosha mpaka ufike Sing'isi.Dogo mkaldayo Crystal palace na Galatasaray hahaha
Nimei download kabisa hiyo video maana ni ya muhimu sanaJamaa ameongea akiwa emotional sana hiko kipande.
We kenge mkaldayo rudi nyumbani ukomboe nchi yako mbusiii wewe acha kujificha huko kwenye mibarafu
Haya ongea wewe unayejua kila kitu, niondokee hapaHakuna mwanajeshi ana uwezo wa kuongelea serikali, democracy lazima iendelee lakini sio kwa sababu wanajeshi wamesema
Ndio maana kuna mda nikaona imefreeze kumbe jamaa washatia lock ila ujumbe umefikaWashapiga pin youtube
Huyobwabwa achama nae hana issue jingamoja hiloHaya ongea wewe unayejua kila kitu, niondokee hapa
Huyu ndio amevaa mabomu kawa bold kuliko huyo wa nyumaSio huyo, yupo aliye nyuma na wana muogopa Sana.
🤣🤣🤣watapigwa pumbu mpaka wazobaneMkiwakamata wahuni wote mimi naomba sana mnipe Wanu na huyu Samia, nijifungie nao geto siku mbili mfululizo alafu niwatolee mbwa wale.