100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
- Thread starter
- #181
Subiri, muda utazungumza.Nataka kuamini kwamba huyu jamaa ana changamoto ya afya ya akili la kama si hivyo ana watu wengi sana ndani ya jeshi wako nyuma yake!
Subiri, muda utazungumza.Nataka kuamini kwamba huyu jamaa ana changamoto ya afya ya akili la kama si hivyo ana watu wengi sana ndani ya jeshi wako nyuma yake!
We kvm-a nakutamani sana basi tuu, i wish nikubane angle nikubandue icho kitobo.Jiandae kwenda kusikiliza kesi yake ya uhaini ila kwa ulivyo muoga hata mahakamani hautaenda utaendelea kujificha juu ya dari kama unavyofanya kwenye kesi ya lissu
Mimi Lamomy Tesha 😹😹Kuanzia sasa niiteni Scars Tesha
Ana watu nyuma, yani ni ntititii 😹😹Alafu Mzee WA Kazi ni kama anasoma maandishi.
Ni kama hutuba ambayo imeandaliwa
Tuweke basi na sisi Wasambaa kwenye hilo kundi lako la wanaume na nusu. Halafu kwa Wachaga, usisahau kuna wale Wachaga wa Rombo.Unafikiri yeye hakujua yote hayo? Huyo ana watu nyuma yake hajakurupuka..!!
Sema mi ndiomana nawapenda wachaga ni wanaume na nusu..!!
We ulichokiona hapo ni hereni tu sio?Kwa hiyo na wewe unavaa hereni masikioni kama mke wangu siyo!
Umeona wanaume wenzio marijali we chawa?Bibie Sargent Lamomy mtaalam wa kujificha juu ya dari bila kutumia ngazi
Tafuta ubini mwingineMimi Lamomy Tesha 😹😹
Ulikuwepooo 😄Ana watu nyuma, yani ni ntititii 😹😹
Huyu ndani ya wiki mbili atakua kafikishwa kwenye mahakama ya kijeshi atafukuzwa kazi na kurudishwa kwenye mahakama ya kiraia jiandae kwenda mahakamani kusikiliza kesi yake ya uasi hukumu yake na ya Lissu zikifanana watanyongwa live kupitia Azam Tv , saa hiyo wewe umejificha uvunguni unavunja button za keyboard ya simu yako kwa kupiga mikwara mtandaoni.Kijana Abdul hapo ulipo utakuwa tayari umejikojolea kwenye sarawili kutokana na hofu. Naona ni muda sasa! unaweweseka tu.
Huyu jamaa ana ulizni tayari wa wanajeshi wenzake, wale watekaji wakasogee alipo waone moto..
Kundi lake lipi? NACHOONGEA NI CHA KWELI AU UONGO???Wabongo wanapenda kukuza mambo huyo jamaa katumwa tu kuongea hivyo na kundi lake na soon atapata alichokuwa anastahili
Wasambaa 😹😹Tuweke basi na sisi Wasambaa kwenye hilo kundi lako la wanaume na nusu. Halafu kwa Wachaga, usisahau kuna wale Wachaga wa Rombo.
Tarehe 29 ntaandamana kwenye mwili wako siku hiyo jiandae.Umeona wanaume wenzio marijali we chawa?
Huyo hata akisema ananifungia ndani sibishi na pichu namsaidia kuvua mwenyewe 😹😹😹
Machawa anzeni mazoezi mwambie na mwenzio Mwijaku kile kitambi tutakitumbua km jipu na spoku 🤣
Akamatwe na nani?..atakamatwa na kuwekwa mahabusu.
..lakini pia kutatokea mtafaruku wa maafisa na wapiganaji wanaoshukiwa kuondolewa jeshini.
..lakini jeshi nalo litajitafakari na huenda likalazimika kumshinikiza Raisi afanye marekebisho ya mifumo ya uchaguzi, na kuleta katiba mpya.
..huko nyuma wakati wa Mwalimu Nyerere kuliwahi kufanyika mabadiliko makubwa sana jeshini kutokana na watu fulani fulani kuhisiwa kuwa hawaridhiki na utawala uliokuwepo.
Simu ya maana ni ipi mzeeNunua simu ya maana