Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

Mods jamani hiki kipindi ambacho JF imefungiwa please tuondoleeni censorship tuwe flexible kutumia maneno makali as long as hatumtukani mtu

Wengine hii habari tumeipokea kwa shangwe sana sasa kuijadili bila lugha ya mtaani tunashindwa

So please

Hawa ******* wametuumiza kwa kipindi kirefu sana na hii taarifa inaonesha kuleta mwanga na matumaini kwa wananchi.
 
Yaani Captain hapo kaambiwa tu we kasome hivi

Huku nyuma ni bunch of soldiers wanasapoti

Maniga tarehe 29 vyuma vitakohoa na burudani itapatikana fresh tu.

Aaaah Mungu (Still Atheist though) nifikishe 29 October niwe sehemu ya wengi kushuhudia ukombozi wa nchi.
Huyu jamaa ana ulizni tayari wa wanajeshi wenzake, wale watekaji wakasogee alipo waone moto..
 
Njia pekee ya kujiokoa kwa Kizimkazi

1759579424959.png
 
Back
Top Bottom