Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Tunaamini Kambi za JWTZ kuliko hata vituo vya polisi vilivyo karibu na sisi.
Tunaamini Kambi za JWTZ kuliko hata vituo vya polisi vilivyo karibu na sisi.
naelewa nachosema mzee, na nyie mbna hamna kash kash kua mwamba waliteka mpaka ndege wakaenda nayo uingereza wakitaka nyerere ajiuzulu ila wapHahaha wewe fala umejilisha upepo mwingi soon utaburst
Umepita jeshi lakini umekuja kuandika uongo. Umepita kweli jeshi?This is fake Captain!.
mimi pia nimepitia JKT, nikaunganisha JWTZ pale Airwing, Ukonga, badala ya kwenda Cadet, nilijiunga RTD.
Sifa kuu ya askari jeshi, polisi, magereza, uhamiaji na zimamoto ni dress code!.
Askari Captain wa JWTZ, hawezi kukosea kuvaa beret ambayo haina ngao halisi ya Bibi na Bwana!.
Askari halisi hawezi kuvaa beret ngao ikakaa pembeni!.
Majina yote ya Jeshi yanaananza na Cheo!. Jina hilo halina cheo!.
Huyu sio askari wa JWTZ yetu!.
Kanuni ya uhuru wa mawazo, freedom of expression iko uraiani sio jeshini, hivyo huyo askari feki ni analichafua tuu jeshi letu safi na adilifu la wananchi wa Tanzania!.
Na hata ikitokea akawa ni kweli ni Captain wa JWTZ, ili kutolichafua jeshi, JWTZ itamkana na kumalizana nae kijeshi!.
P
Sawa Mwanajeshi vizuri kumsahihisha kurutaUmepita jeshi lakini umekuja kuandika uongo. Umepita kweli jeshi?
Unasema beret ngao lazima iwe na bibi na bwana, pia haitakiwi kuvaliwa ikakaa pembeni?
Kwa hiyo hawa pia wanajeshi wetu waliovaa hivi? Ni wakenya hawa sio?
View attachment 3484672
Pia unasema majina lazima yaanze na cheo? Kaa huyu aliyepo hapa na CDF mkunda sio mwananjeshi? Maana jina ake halijaanza na cheo
View attachment 3484673
Uongo unakusaidia kitu gani?
Jambo baya kuandika kitu kwa confidence alafu cha uongo.Sawa Mwanajeshi vizuri kumsahihisha kuruta
Umeeleweka mkuu salute Captain City Thunder OKCJambo baya kuandika kitu kwa confidence alafu cha uongo.
Ukiona kwenye mjadala mtu anaanza kusema mimi niliwahi hivi au vile ili akuaminishe kitu, basi jua atakuongopea
Wanajeshi kila leo wanavaa beret bila bibi na bwana, unakuwepo mwenge tu. Alafu Wala wengi havalii katikati, huweka pembeni
Pia kuhusu jina kutanguliwa na cheo kwenye magwanda wala si kweli, mfano nimempa wa huyo major general akiwa na Cdf