heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,042
- 13,383
Baada ya kuzungumza ayo otea unajuwa jamaa yupo wapi saivi
Kwema vipi wewe?Huogopi hizi kelele?
Kwema lakini?
Yupo kambiniBaada ya kuzungumza ayo otea unajuwa jamaa yupo wapi saivi
Mimi mzima. Tuombeane heri.Kwema vipi wewe?
Ss nimeelewa aliyesema Gwajima katumwaMkuu hadi hapa police wakipiga raia hawatakaa wasahau daima!!!
Polepole anajua kila kitu ndio maana hawazi
Hadi hapo uchaguzi haupo nakwambia
hakuna mwenye taarifa zake za uhakika, imechapishwaa excel inatambaa mtandaoni haina uthibitisho ni excel ya jwtz kwan ameandikwa jina lake tu, kiufupi ukiwa. upinzani ni rahisi kupelekwa kushoto kulia yaani vile unatakaJina: John Charles Tesha (J. C. TESHA)
Rank: Captain
Intake No. 58, 2014
Force No. P. 13353
Taarifa za July 22, 2025 zinathibitisha Tesha bado ni “active” (A1)
Ni mkufunzi wa zana za anga za kivita katika shule ya kijeshi ya anga SAK (Airwing) ndani ya Airforce
Naamini wapo wengi sana wanajeshi wa dizaini hii wazalendo wa kweli ambo wanachukizwa sana na ubinafsi wa viongozi wa serikali tuliyonayo.The way wanajeshi wanavyokua trained taifa kwao ni zaidi ya roho zao na mbele ya taifa lao hawajali kitu kingine chochote. Huyu jamaa inaelekea falsafa na saikolojia ya jeshi iliingia kwa DNA yake moja kwa moja! Waliomtrain huyu jamaa watakua very proud na hii product japo kisiasa atakua an enemy of the state!
Umezoa kuteswa na maccm ehee?? Mpaka unayependa?Sahihi kabisa mkuu
Utatapa tapa sana mbwa wewe lakini huwezi kuzuia anguko la ccm..hakuna mwenye taarifa zake za uhakika, imechapishwaa excel inatambaa mtandaoni haina uthibitisho ni excel ya jwtz kwan ameandikwa jina lake tu, kiufupi ukiwa. upinzani ni rahisi kupelekwa kushoto kulia yaani vile unataka
mzee unapoteza mda wako, ccm haiwezi kutoka madarakan ata mpige kura east afrika nzimaUtatapa tapa sana mbwa wewe lakini huwezi kuzuia anguko la ccm..
Waambie na mabwana zako waanze kuhamisha mali zao kwa siri kabla hawajatiwa kizuizini na wazalendo wa kweli...
Chama cha majizi ya mali za uma kwisha habari yenu... eti mnajifanya mna intelijensia kali, kwa hiyo hamkuona hili la Capt. Tesha?
yaani nakuonea huruma umekaa apo ukawaza kwamba ccm itakuja kutoka madarakani 😂Utatapa tapa sana mbwa wewe lakini huwezi kuzuia anguko la ccm..
Waambie na mabwana zako waanze kuhamisha mali zao kwa siri kabla hawajatiwa kizuizini na wazalendo wa kweli...
Chama cha majizi ya mali za uma kwisha habari yenu... eti mnajifanya mna intelijensia kali, kwa hiyo hamkuona hili la Capt. Tesha?
we jichanganye ukadhan ni mwanaa jeshi kwelNaamini wapo wengi sana wanajeshi wa dizaini hii wazalendo wa kweli ambo wanachukizwa sana na ubinafsi wa viongozi wa serikali tuliyonayo.
Imagine mtu ameweka maisha yake rehani kwa ajili ya kulilinda taifa hili na rasilimali zake, halafu leo hii anatokea mtu kutoka zanzibar huko kisa tu ameokota urasi, anaanza kuuza uza ovyo rasilimali za taifa kwa wajomba zake wa uarabuni.. wewe unafikiri hilo jambo linavumilika?
Kama kuna mwanajeshi ambaye haumizwi na mambo ya ovyo yasiokuwa ya kizalendo anayofanya Samia, basi jua kwamba mwanajeshi huyo ni mnufaika na wa ufisadi na hana hata chdmbe ya uzalendo.
Nina uhakika baada ya hili tukio la leo, kinachofuata hapo Samia atajaribu kuwahonga makuruta wengine wenye kwanzia ngazi ya ukapteini hili kutuliza hasira zao, maana yeye mwenyewe anajua anayoyafanya si kila mtu yanamfurahisha..
Umezoa kuteswa na maccm ehee?? Mpaka unayependa?
😂Mkuu hadi hapa police wakipiga raia hawatakaa wasahau daima!!!
Polepole anajua kila kitu ndio maana hawazi
Hadi hapo uchaguzi haupo nakwambia
jichanganye utakutana na wanajeshi wenyewe sasa sio huyu anamuita bosi wake mamaWatu walituona wapuuzi tuliposema tunatoka 29 OCT, kiko wapi ? Jeshi lipo upande wa wananchi.
Tarehe 29 tunatoka.
duu umekaa unawaza kwamba kuna sku ccm itatoka madarakani 😂Me nilitegemea anaongea hayo yuko studio za tbc keshafanya mapinduzi..
This is fake Captain!.
mimi pia nimepitia JKT, nikaunganisha JWTZ pale Airwing, Ukonga, badala ya kwenda Cadet, nilijiunga RTD.
Sifa kuu ya askari jeshi, polisi, magereza, uhamiaji na zimamoto ni dress code!.
Askari Captain wa JWTZ, hawezi kukosea kuvaa beret ambayo haina ngao halisi ya Bibi na Bwana!.
Askari halisi hawezi kuvaa beret ngao ikakaa pembeni!.
Majina yote ya Jeshi yanaananza na Cheo!. Jina hilo halina cheo!.
Huyu sio askari wa JWTZ yetu!.
Kanuni ya uhuru wa mawazo, freedom of expression iko uraiani sio jeshini, hivyo huyo askari feki ni analichafua tuu jeshi letu safi na adilifu la wananchi wa Tanzania!.
Na hata ikitokea akawa ni kweli ni Captain wa JWTZ, ili kutolichafua jeshi, JWTZ itamkana na kumalizana nae kijeshi!.
P
Tunasubiri tamko kutoka kwa Amiri Jeshi Mkuu.This is fake Captain!.

Sisi tunangalia alichokizungumza, thunder fire, na mapokeo ya wananchi ambao wameendelea kuteseka kwa muda mrefu na matumaini yao yakabaki kwa jeshi kabla ya kuamua kuingia barabarani kudai hayo madai yao kwa nguvu. Mengi hayo hayatuhusu. Ni kweli amejitoa kwaajili ya wengi awe mwanajeshi au la ila mwenyezi Mungu huyu ambariki popote aingiapo na atokapo na amlinde yeye na wenzake wenye mawazo chanya kama hayo.This is fake Captain!.
mimi pia nimepitia JKT, nikaunganisha JWTZ pale Airwing, Ukonga, badala ya kwenda Cadet, nilijiunga RTD.
Sifa kuu ya askari jeshi, polisi, magereza, uhamiaji na zimamoto ni dress code!.
Askari Captain wa JWTZ, hawezi kukosea kuvaa beret ambayo haina ngao halisi ya Bibi na Bwana!.
Askari halisi hawezi kuvaa beret ngao ikakaa pembeni!.
Majina yote ya Jeshi yanaananza na Cheo!. Jina hilo halina cheo!.
Huyu sio askari wa JWTZ yetu!.
Kanuni ya uhuru wa mawazo, freedom of expression iko uraiani sio jeshini, hivyo huyo askari feki ni analichafua tuu jeshi letu safi na adilifu la wananchi wa Tanzania!.
Na hata ikitokea akawa ni kweli ni Captain wa JWTZ, ili kutolichafua jeshi, JWTZ itamkana na kumalizana nae kijeshi!.
P
Uwe unaficha uchi wa akili yako hata kama una njaa kama ambavyo jina lako ni njaa.This is fake Captain!.
mimi pia nimepitia JKT, nikaunganisha JWTZ pale Airwing, Ukonga, badala ya kwenda Cadet, nilijiunga RTD.
Sifa kuu ya askari jeshi, polisi, magereza, uhamiaji na zimamoto ni dress code!.
Askari Captain wa JWTZ, hawezi kukosea kuvaa beret ambayo haina ngao halisi ya Bibi na Bwana!.
Askari halisi hawezi kuvaa beret ngao ikakaa pembeni!.
Majina yote ya Jeshi yanaananza na Cheo!. Jina hilo halina cheo!.
Huyu sio askari wa JWTZ yetu!.
Kanuni ya uhuru wa mawazo, freedom of expression iko uraiani sio jeshini, hivyo huyo askari feki ni analichafua tuu jeshi letu safi na adilifu la wananchi wa Tanzania!.
Na hata ikitokea akawa ni kweli ni Captain wa JWTZ, ili kutolichafua jeshi, JWTZ itamkana na kumalizana nae kijeshi!.
P
Kama mtu tu anakaa Live lisaa1 na ushee anaongea mambo mazito vile bila kukamatwa hadi dk hii basi hatupo salama na hatuna jeshi aseeThis is fake Captain!.