Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea


View: https://www.youtube.com/watch?v=W05IF22nAfI
View attachment 3483365

Kupitia YouTube, Kapteni Tesha anaanza kwa kusema..

"Habari za wakati huu watanzania Kwa majina naitwa K Tesha afisa kutoka jeshi la wananchi wa Tanzania katika kikosi [00:03] cha Saki kwa maana kwamba ni shule ya anga ya kijeshi Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu muumba mbingu [00:13] na nchi kwa kunipa uhai na afya mpaka muda huu ambapo nazungumza nanyi Watanzania wenzangu nikiwa na maumivu makubwa sana [00:21] moyoni juu ya haya yanaendelea katika nchi yetu...""

Muhtasari.
Kapteni K. Tesha, afisa anayejitambulisha kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (Saki/Shule ya Anga ya Kijeshi), anatoa maoni yake kwa umma kuhusu hali anayoiona katika taifa.

Hoja Kuu za Kapteni Tesha:

Hatari ya Taifa:
Anadai anaona hatari kubwa mbele ya taifa kutokana na yale yanayoendelea [00:30]. Anasema ametoa barua kwa wakubwa wake, akiwemo CDF, kuonyesha kutoridhishwa kwake na hali ya nchi [01:35].

Jeshi Kuchukua Nchi: Anashauri Jeshi la Ulinzi wa Wananchi (JWTZ) lichukue nchi haraka ili kuweka mambo sawa, akidai kuwa imani pekee ya Watanzania imebaki kwenye jeshi [02:34]. Anataka uchaguzi uzuiwe kwa sababu una mtego na umejaa makashfa [01:00:25].

Deep State: Anaelezea dhana ya "Deep State" kama kundi la watu wenye ushawishi ndani ya serikali au taasisi za dola (serikali ndani ya serikali) ambalo linaendesha maamuzi nyuma ya pazia [04:19]. Anadai kundi hili nchini linaongozwa na "CCM Mtandao" wakiwemo Mstaafu Kikwete na Rostam Aziz.

Uchunguzi wa Kifo cha Magufuli: Anasisitiza kuwa kifo cha Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli kichunguzwe na Jeshi kwa haraka, akitaja taarifa kwamba kinaweza kuwa kimesababishwa na CCM Mtandao.

Ushauri kwa CDF: Anamuomba CDF (Mkuu wa Majeshi) asikubali siasa kuingizwa Jeshini kwa kuwa inaweza kugawanya umoja wa jeshi, na anashauri Kikwete na mtandao wake wakamatwe kujibu tuhuma za ufisadi na kifo cha Magufuli.

Hatari nikubwa mbele yake lakini kaamua kufia Nchi yake.🙏🙏🙏🙏
 
Sisi tunangalia alichokizungumza, thunder fire, na mapokeo ya wananchi ambao wameendelea kuteseka kwa muda mrefu na matumaini yao yakabaki kwa jeshi kabla ya kuamua kuingia barabarani kudai hayo madai yao kwa nguvu. Mengi hayo hayatuhusu. Ni kweli amejitoa kwaajili ya wengi awe mwanajeshi au la ila mwenyezi Mungu huyu ambariki popote aingiapo na atokapo na amlinde yeye na wenzake wenye mawazo chanya kama hayo.

Wewe utiss wako hujasaidia chochote nchi hii zaidi ya kutumiwa na wanasiasa kwa faida zenu tu. ^Tutakuwepo.
Pascal Mayalla ni kama dodoki tu la Ccm , achana naye huyo atakupasua kichwa bure maana hata kula yake ni ya kujikombakomba kwa watawala
 
This is fake Captain!.
mimi pia nimepitia JKT, nikaunganisha JWTZ pale Airwing, Ukonga, badala ya kwenda Cadet, nilijiunga RTD.

Sifa kuu ya askari jeshi, polisi, magereza, uhamiaji na zimamoto ni dress code!.

Askari Captain wa JWTZ, hawezi kukosea kuvaa beret ambayo haina ngao halisi ya Bibi na Bwana!.
Askari halisi hawezi kuvaa beret ngao ikakaa pembeni!.
Majina yote ya Jeshi yanaananza na Cheo!. Jina hilo halina cheo!.
Huyu sio askari wa JWTZ yetu!.

Kanuni ya uhuru wa mawazo, freedom of expression iko uraiani sio jeshini, hivyo huyo askari feki ni analichafua tuu jeshi letu safi na adilifu la wananchi wa Tanzania!.

Na hata ikitokea akawa ni kweli ni Captain wa JWTZ, ili kutolichafua jeshi, JWTZ itamkana na kumalizana nae kijeshi!.

P
Ww ni useless kabisa.

Huna moral authority ya kuhoji uhalali wa Capt. Tesha
 
hakuna mwenye taarifa zake za uhakika, imechapishwaa excel inatambaa mtandaoni haina uthibitisho ni excel ya jwtz kwan ameandikwa jina lake tu, kiufupi ukiwa. upinzani ni rahisi kupelekwa kushoto kulia yaani vile unataka
Asilimia 98 ya jeshi linapingana samia na ccm ya sasa
 
VIELELEZO VYA MAKOSA KWENYE VIDEO YA MTU ANAYEJIITA CAPT TESHA .


1. Baji ya jeshi la anga/kamandi ya anga [airforce] iliyowekwa kwenye kofia ya Tesha sio ya kamandi husika imewekwa baji ya Nemba ya jeshi la ardhi kwenye kofia ya jeshi la anga.

2. Vyeo alivyopachika bwana Tesha vipo kwenye kigae cha jeshi la ardhi huko kofia yake ni ile ya jeshi la anga ,haiwezekani askari/afsa avae vyeo ya jeshi anga vyeo vya mfumo wa jeshi la ardhi.

3.Shingo ya sweta ya Bwana tesha imetokeza na kufunika taya ,askari za JWTZ hawavai namna hiyo ni kosa shingo ya sweta kutokezea na kuwa kuonekna.

4.Mkunjo wa kofia ya mangi Tesha ni kielelezo kingine muhimu kuwa ni too fake hakuna mkunjo wa namna ile capt anashindwa kuvaa kofia

5.Kujiumauma na wasiwasi wa kile anacho sema (body language ) ya mtu mwoga asiye amini anachosema

6.Midevu bwana tesha majukumu aliyosema yupo nayo sio special duty hivyo alipaswa kuwa kamili kwenye mwonekano wa usafi hasa kunyoa ndevu

7.Kujikosoa mwenyewe ipo kama alikuwa anafundishwa na mtu asome nini kwa vimemo huku akikosea mara kwa mara

8. Anasisisitiza kuwa ni msimamo wake pekee sio jumuishi [Act alone, accoutamble alone] kitu cha kutilia shaka hakuna mapinduzi ya man alone

9. Woga ,macho ya bwana tesha yanaonesha mtu mwoga na asiye na uhakika wa anachokisema hasa akisema haogopi kufa ni woga mkubwa kutangaza kutoogopa inatafsiriwa ndio woga wenyewe.

10.Jeshi au kikundi cha kijeshi huwa hakitangazi mapinduzi kama ombi kama kuwataka watu wajiandae na kifuatacho ,Bwana tesha anasema anatishia kuja tena kusema kama oda yake haitafanyiwa kazi ,hakuna tishio la mapinduzi kabla ya mapinduzi kutokea uchochoroni kama alivyofanya mangi Tesha.

USSR
1759657044722.jpg
20251005_122818.jpg
 
CPT, kasema wafungwe wasikimbie nchi... na orodha ni hii .
1. Rais Mstaafu Jakawa Kikwete
2. Rosta Azizi
3. Angel Kiziga
4. Abdul ( Mtoto wa Muheshimiwa Rais Mama Samia Hassan Suluhu)
5. Mombo ( Mkurugenzi TISS )

Wapelekewe alipo Lissu hawa kwa wafungwa walio hukumiwa kunyongwa
 
Back
Top Bottom