min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Mwanangu ,Dr am 4 real PhD leo tunywe hii kitu kwa heshima ya mwamba
Sio wananchi wote sema CDM na hasa wanaoshinda mitandaoniIla watu wamependa hiyo habari sijui kwanini? Mambo ya kua JW au sio JW Ayo tuachane nayo kwanini hii habari imependwa na wananchi?
Ujinga ni kipajiVIELELEZO VYA MAKOSA KWENYE VIDEO YA MTU ANAYEJIITA CAPT TESHA .
1. Baji ya jeshi la anga/kamandi ya anga [airforce] iliyowekwa kwenye kofia ya Tesha sio ya kamandi husika imewekwa baji ya Nemba ya jeshi la ardhi kwenye kofia ya jeshi la anga.
2. Vyeo alivyopachika bwana Tesha vipo kwenye kigae cha jeshi la ardhi huko kofia yake ni ile ya jeshi la anga ,haiwezekani askari/afsa avae vyeo ya jeshi anga vyeo vya mfumo wa jeshi la ardhi.
3.Shingo ya sweta ya Bwana tesha imetokeza na kufunika taya ,askari za JWTZ hawavai namna hiyo ni kosa shingo ya sweta kutokezea na kuwa kuonekna.
4.Mkunjo wa kofia ya mangi Tesha ni kielelezo kingine muhimu kuwa ni too fake hakuna mkunjo wa namna ile capt anashindwa kuvaa kofia
5.Kujiumauma na wasiwasi wa kile anacho sema (body language ) ya mtu mwoga asiye amini anachosema
6.Midevu bwana tesha majukumu aliyosema yupo nayo sio special duty hivyo alipaswa kuwa kamili kwenye mwonekano wa usafi hasa kunyoa ndevu
7.Kujikosoa mwenyewe ipo kama alikuwa anafundishwa na mtu asome nini kwa vimemo huku akikosea mara kwa mara
8. Anasisisitiza kuwa ni msimamo wake pekee sio jumuishi [Act alone, accoutamble alone] kitu cha kutilia shaka hakuna mapinduzi ya man alone
9. Woga ,macho ya bwana tesha yanaonesha mtu mwoga na asiye na uhakika wa anachokisema hasa akisema haogopi kufa ni woga mkubwa kutangaza kutoogopa inatafsiriwa ndio woga wenyewe.
10.Jeshi au kikundi cha kijeshi huwa hakitangazi mapinduzi kama ombi kama kuwataka watu wajiandae na kifuatacho ,Bwana tesha anasema anatishia kuja tena kusema kama oda yake haitafanyiwa kazi ,hakuna tishio la mapinduzi kabla ya mapinduzi kutokea uchochoroni kama alivyofanya mangi Tesha.
USSR
View attachment 3483699View attachment 3483700
Chadema sio wananchi?Sio wananchi wote sema CDM na hasa wanaoshinda mitandaoni
CDM sio wananchi wote elewa KiswahiliChadema sio wananchi?
Hii kolezea mkuu na Nakshi Nakshi za pwani huku ukiongezea mtoto PENDWA4. Abdul ( Mtoto wa Muheshimiwa Rais Mama Samia Hassan Suluhu)
Hakuna kitu hapo, hata aliyepachika jina ni mpuuzi mmoja asiejua kufojiNi mwanajeshi kweli .je bado yupo kambini?yupo wapi Kwa Sasa?
Ndevu ni uchafu?VIELELEZO VYA MAKOSA KWENYE VIDEO YA MTU ANAYEJIITA CAPT TESHA .
1. Baji ya jeshi la anga/kamandi ya anga [airforce] iliyowekwa kwenye kofia ya Tesha sio ya kamandi husika imewekwa baji ya Nemba ya jeshi la ardhi kwenye kofia ya jeshi la anga.
2. Vyeo alivyopachika bwana Tesha vipo kwenye kigae cha jeshi la ardhi huko kofia yake ni ile ya jeshi la anga ,haiwezekani askari/afsa avae vyeo ya jeshi anga vyeo vya mfumo wa jeshi la ardhi.
3.Shingo ya sweta ya Bwana tesha imetokeza na kufunika taya ,askari za JWTZ hawavai namna hiyo ni kosa shingo ya sweta kutokezea na kuwa kuonekna.
4.Mkunjo wa kofia ya mangi Tesha ni kielelezo kingine muhimu kuwa ni too fake hakuna mkunjo wa namna ile capt anashindwa kuvaa kofia
5.Kujiumauma na wasiwasi wa kile anacho sema (body language ) ya mtu mwoga asiye amini anachosema
6.Midevu bwana tesha majukumu aliyosema yupo nayo sio special duty hivyo alipaswa kuwa kamili kwenye mwonekano wa usafi hasa kunyoa ndevu
7.Kujikosoa mwenyewe ipo kama alikuwa anafundishwa na mtu asome nini kwa vimemo huku akikosea mara kwa mara
8. Anasisisitiza kuwa ni msimamo wake pekee sio jumuishi [Act alone, accoutamble alone] kitu cha kutilia shaka hakuna mapinduzi ya man alone
9. Woga ,macho ya bwana tesha yanaonesha mtu mwoga na asiye na uhakika wa anachokisema hasa akisema haogopi kufa ni woga mkubwa kutangaza kutoogopa inatafsiriwa ndio woga wenyewe.
10.Jeshi au kikundi cha kijeshi huwa hakitangazi mapinduzi kama ombi kama kuwataka watu wajiandae na kifuatacho ,Bwana tesha anasema anatishia kuja tena kusema kama oda yake haitafanyiwa kazi ,hakuna tishio la mapinduzi kabla ya mapinduzi kutokea uchochoroni kama alivyofanya mangi Tesha.
USSR
View attachment 3483699View attachment 3483700
Ulivyo kiazi hata macho yako yalivyo unfit unaona hizo baji ziko sawa mjinga mmoja wewe .nanga
USSR
View attachment 3483710
source: trust me broAsilimia 98 ya jeshi linapingana samia na ccm ya sasa
Sasa wewe unalia nini mzee mbona umepanick 🤣🤣🤣🤣🤣Hakuna kitu hapo, hata aliyepachika jina ni mpuuzi mmoja asiejua kufoji
Ukiangalia vizuri unaona kabisa kuna jina nyuma limefichwa na kubandika kikaratasi....
View attachment 3483732