Hawa wenye mitutu ndio pekee anao wategemea Samia. Wanapoanza kutia mashaka hata nyinyi mnaomtegemea Samia kuishi inawawia shida sana kujuwa kama kweli Samia bado atabaki salama!Jiandae kwenda kusikiliza kesi yake ya uhaini ila kwa ulivyo muoga hata mahakamani hautaenda utaendelea kujificha juu ya dari kama unavyofanya kwenye kesi ya lissu
Hili ndilo wazo muhimu linalopaswa kuwa akilini mwako sasa hivi.
Je, bila ya hii mitutu ya bunduki, mtamudu vipi?
Samia kawanunua viongozi wote wa taasisi kama hii; lakini hawezi kununua wazalendo waliomo kwenye taasisi hizo.
Hili ndilo tatizo litakalo wakabili.