Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

Kwa ufupi ni kwamaba kama ccm watakamata madaraka kwa mtindo huu wa kutojali sauti za raia , miaka 5 ijayo ni ya tabu sana kwa kila mtu . Yamkini tutatekwa na kupotezwa zaidi ya sasa
 
HAYUKO PEKE YAKE, na YUKO TANZANIA WALA HAYUKO NJE YA NCHI. Ukimuangalia anaongea kama mtu aliyetumwa na tena kwa lazima aseme mara moja(anafuata amri). Angalia pazia la nyuma pale ndo ujue jamaa yuko mahali fulani salama sana. Hautajua yuko wapi. Huyu yuko pande zote mbili - Jeshi na Usalama.
Huyu yupo hapa hapa Tanzania katuma ujumbe kwa wahusika
 
Naamini nitakuwa shuhuda wa kitakacho tokea tar 29 October nitasimulia tukutane magogoni
 
Tuliwaambia kumdhibiti Lissu CHADEMA ni kazi bure, ziko ngoma nzito ni noma, ni muziki mnene, bado kuna ma gen z. Hapa watachanganyikiwa wamdhibiti nani kama mijeda nayo imeanza kujitokeza waziwazi kuzungumzia mambo yanayotokea nchini. Ndio maana kuna viongozi wamekuwa wapole sana kipindi hiki wanaongea kwa busara isivyo kawaida, tumeona kwenye sakata la mwendokasi, huenda wame sense kuna kitu kinawazidi uwezo kinaweza kutokea
 
1759597662126.png


YAWEZEKANA jamaaa ametumia njia hii kupush agenda zake za kisiasa akidhan ndo njia sahihi ila effects zake ni mbaya sana, Busaara tu itumike kwa mwamba maaana akipatikana na alivokua anampa maagizo CDF naishiwa pawa
 
Zingatia neno "OLE WAKE" !!!

Mwamba hayupo peke yake kuna watu nyuma yake amini.

Mi nlivoona yule mjeda wa kwanza aliyejipost kwa mange kuwa haelewe harakati za nchi zinavyoenda nkajua kinanuka soon.

Wamempinga polepole
Wamempinga alichosema Gwajima
Hata huyu wanampinga ila tuamini kauli za hawa watu.
 
jeshini kumechoka au upo kijiwe cha mashoga mnakaguana marinda ya ccm
 
Abdul ni chanzo magari ya kifahari anayo tembelea mondi akatutuksns kmake half wanajeshi mishahara yao ndo hiyo I smell something fishy ata wakitiboa now badae lazima kinuke
 
Back
Top Bottom