100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
- Thread starter
- #281
Amani bila haki ni machafuko, ni bora tuwe kwenye machafuko ieleweke tupo kwenye machafuko...Mange akiona hii atafurahi sana. Yule Dada ana roho mbaya anachochea machafuko wakati yeye anaishi Marekaninna familia yake. Sisi hatuna pakukimbilia. Amani ni Tunu