The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Hahaha unajivunie lugha iliyopotea wee mbusiiTulia wewe mimi kilatini kinapanda fresh tu.
Hahaha unajivunie lugha iliyopotea wee mbusiiTulia wewe mimi kilatini kinapanda fresh tu.
Ulitaka amuitaje ?Je hapo Mwamba Tesha anavyomaddress CDF, akimuita afande CDF ni Sawa? Naona kama anakosea hivi.
Unaogopa nini?Alooh nimeogopa sana Mungu ibariki Tanzania!
Maybe huna bandoMbona inagoma kuplay jmn🤔
Kama umekili kuwa Watanzania ni wajinga, je weye ni wa nchi gani yahee?😎Hahaha na watanzania walivyo wajinga ukisoma comments wameamini kwamba tesha ni capten jeshi
Atayaonea wapi hayo chawa huyoWe ulichokiona hapo ni hereni tu sio?
Hujaona mambo ya fong sai yuk hapo?
Hujaona snake in the eagle shadow?
Hujaona mambo ya Tai Chi Master hapo?
Hujaona?
Tulia wewe mla urojo.. wewe ndio unaleta maneno ya taarabu ya huko kwenu Pwani.Bahati haiji mara mbili, Gwajiboy atumie njia hiyo akapaa kama anaenda mbinguni, kinyonga nae akapita na upepo huohuo, mzee ulipaswa uje na mbinu hata ya bunduki kama jina lako lilivyo, achana na taarabu za mzee Yusufu na maneno mengi kama ya dj rufufu.
Mimi naona yuko sahihi. Kwa sababu nchi haina Rqis! Na badala yake ina mmama tu aliyetangulizwa mbele, halafu wahuni wanatawaa huku wakiwa wamejificha nyuma yake. Na mhuni namba moja ni huyo mzee mstaafu (mzee wa hovyo kabisa huyu kuwahi kutokea nchini) aliyetajwa mara nyingi na huyo Captain.
Kabla hujamuita huyo unayemuita naomba unitie kwanza Lucas Mwashambwa aje hapa atueleze je, samia suluhu hasan ambaye tumeaminishwa kuwa ni kipenzi cha watanzania ndio huyu anayeongelewa hapa na Capt.Tesha?Hii haijawahi kutokea mchini! Labda wanansiada na jeshi waje watuambie kama huyu Kamanda siyo Mzalendo wetu. What a Hero!!! Hongera sana Captain kwa kujitoa mhanga kulikomboa hili Taifa linalochezewa na wapuuzi wachchae kwa matakwa yao.
View: https://www.youtube.com/watch?v=W05IF22nAfI
Kupitia YouTube, Kapteni Tesha anaanza kwa kusema..
"Habari za wakati huu watanzania Kwa majina naitwa K Tesha afisa kutoka jeshi la wananchi wa Tanzania katika kikosi [00:03] cha Saki kwa maana kwamba ni shule ya anga ya kijeshi Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu muumba mbingu [00:13] na nchi kwa kunipa uhai na afya mpaka muda huu ambapo nazungumza nanyi Watanzania wenzangu nikiwa na maumivu makubwa sana [00:21] moyoni juu ya haya yanaendelea katika nchi yetu...""
Muhtasari.
Kapteni K. Tesha, afisa anayejitambulisha kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (Saki/Shule ya Anga ya Kijeshi), anatoa maoni yake kwa umma kuhusu hali anayoiona katika taifa.
Hoja Kuu za Kapteni Tesha:
- Hatari ya Taifa: Anadai anaona hatari kubwa mbele ya taifa kutokana na yale yanayoendelea [00:30]. Anasema ametoa barua kwa wakubwa wake, akiwemo CDF, kuonyesha kutoridhishwa kwake na hali ya nchi [01:35].
- Jeshi Kuchukua Nchi: Anashauri Jeshi la Ulinzi wa Wananchi (JWTZ) lichukue nchi haraka ili kuweka mambo sawa, akidai kuwa imani pekee ya Watanzania imebaki kwenye jeshi [02:34]. Anataka uchaguzi uzuiwe kwa sababu una mtego na umejaa makashfa [01:00:25].
- Deep State: Anaelezea dhana ya "Deep State" kama kundi la watu wenye ushawishi ndani ya serikali au taasisi za dola (serikali ndani ya serikali) ambalo linaendesha maamuzi nyuma ya pazia [04:19]. Anadai kundi hili nchini linaongozwa na "CCM Mtandao" wakiwemo Mstaafu Kikwete na Rostam Aziz.
- Uchunguzi wa Kifo cha Magufuli: Anasisitiza kuwa kifo cha Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli kichunguzwe na Jeshi kwa haraka, akitaja taarifa kwamba kinaweza kuwa kimesababishwa na CCM Mtandao.
- Ushauri kwa CDF: Anamuomba CDF (Mkuu wa Majeshi) asikubali siasa kuingizwa Jeshini kwa kuwa inaweza kugawanya umoja wa jeshi, na anashauri Kikwete na mtandao wake wakamatwe kujibu tuhuma za ufisadi na kifo cha Magufuli .
Ni mjinga nilieeruvuka kujua kwamba kuna wajinga wengine kama wewe ulieaminiKama umekili kuwa Watanzania ni wajinga, je weye ni wa nchi gani yahee?😎
Atayaonea wapi hayo chawa huyo
Mimi namtamani sana Lucas Mwashambwa siku ikifika lazima nimjojolee bonge la kojo.We kvm-a nakutamani sana basi tuu, i wish nikubane angle nikubandue icho kitobo.
Hahahahh.. hebu acha nicheke kwa dhara kama mjusi kafiriJiandae kwenda kusikiliza kesi yake ya uhaini ila kwa ulivyo muoga hata mahakamani hautaenda utaendelea kujificha juu ya dari kama unavyofanya kwenye kesi ya lissu
Umeona wanaume wenzio marijali we chawa?
Huyo hata akisema ananifungia ndani sibishi na pichu namsaidia kuvua mwenyewe 😹😹😹
Machawa anzeni mazoezi mwambie na mwenzio Mwijaku kile kitambi tutakitumbua km jipu na spoku 🤣
Nafikiri wajeshi watakao kuwa na Samia ni wale wachache wenye vyeo vya juu kabisa. Lakini wanajeshi wa kawaida nafikiri hawafurahishwi na wahuni.Sasa CDF ni nani kama wanajeshi wa chini hawamsikilizi? huyu anazungumza kwa sababu nyuma ana backup kubwa tena sana, na amejiridhisha vya kutosha hadi kufikia hatua hio..
Polepole pia kukataa ubalozi ilikuwa si bure, ana back up ya kutosha, alishasema waandishi na vyombo vya usalama watunze kumbukumbu za wahalifu na watekaji kwani siku inakuja lazima hao watekaji wawajibishwe.
Na huyo kapteni kasema wazi wanajeshi wengi wapo upande wa wananchi.
Soma alama za nyakati, wanajeshi waliobaki upande wa Samia ni wanufaika,CDF mwenyewe ni chawa kindakindaki.
Wewe kumbe ni makalio, wa kunifananisha mimi na ccm!, unapo palamia watu kuwajibu uwe unatumia akili siyo unaendeshwa na mihemko...Tulia wewe mla urojo.. wewe ndio unaleta maneno ya taarabu ya huko kwenu Pwani.
Mwisho wenu umefika, mwambie mama ako aanza kukusanya vilago vyake akajifiche huko kizimkaz... maana hana tena maisha marefu hapa Tanganyika.
Leo nina furaha sana
Mods iachane hivyo hivyo comment yangu
Wameipita comment yangu wameondoa maneno ya kibusaraMods wa humu kuna muda wanakuwaga wacenge wacenge tu bila sababu...
Aisee acha kabisa mwanangu unishindi mimi kuwa na furaha, yaan nina furaha kinyam hata kama hii action ya huyu mjeda hapa haitatufikisha kwenye nchi ya aahadi siku za karibuni, ila tayari ni mwanga wa ukombozi.
Hapa sasa hivi nimeagiza kitimoto kavu kama kilo 2 naitafuna mimi mwenyewe tu.
Hisia zangu zinaniambia nyie wote mnaosema hivi, kimoyo kimoyo mnaombea iwe hivyo kwamba wamuue...Watamndugai soon,ila uoga unaponza sana
Grok ni software, elewa hilo...