Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Kabisa, uvumilivu wa uonevu huwa una mwisho,kwenda jeshini wasijione kuwa wako juu ya kila mtu...anaweza hata kuchezea bisibisi ya macho akawa kipofu daima na kazi yenyewe ya uanajeshi ikamshinda. Dunia ndogo hii tuishi kwa usawaTukio la kawe mwanajeshi kupigwa kisu na kufa halijawafunza wanajeshi .Raia nao ni binadamu kuna muda hawezi ona hilo Gwanda...
Hao madereva wa daladala wanadharau Sana.. sishangai kupokea kichapo namna hiyoKuna Mkasa umtokea ukimuonesha Mwanajeshi wa JWTZ akimshambulia Dereva wa daladala ya Tabata, Lakini Akiwa anafanya Tukio hili Dereva wa Daladala alikuwa hajaweka gari katika 'Parking' Hivyo ikawa inatembea, Hii ni hatari kwa maisha ya abiria walioko katika Daladala hiyo na Wale wanaotumia Kwa njia ya Miguu.
Tunaomba Mamlaka husika kushughulikia Hili na kuwaweka uwazi juu ya hatua zitakachochukuliwa kwa kamanda huyu aliemshambulia Raia ambaye ni dereva na alibeba Roho za watu
View attachment 2879924
View attachment 2879925
Namuunga mkono mwanajeshi tena huyo dereva wa daladala ni muhuniKuna Mkasa umtokea ukimuonesha Mwanajeshi wa JWTZ akimshambulia Dereva wa daladala ya Tabata, Lakini Akiwa anafanya Tukio hili Dereva wa Daladala alikuwa hajaweka gari katika 'Parking' Hivyo ikawa inatembea, Hii ni hatari kwa maisha ya abiria walioko katika Daladala hiyo na Wale wanaotumia Kwa njia ya Miguu.
Tunaomba Mamlaka husika kushughulikia Hili na kuwaweka uwazi juu ya hatua zitakachochukuliwa kwa kamanda huyu aliemshambulia Raia ambaye ni dereva na alibeba Roho za watu
View attachment 2879924
View attachment 2879925
Naskia kala vitasa mpk mtaroni na nguo kachaniwa haikua kinyongeWanaume wa dar wanazingua sana,uwakute sasa na vibukta vyao asubuhi wanakimbia pembezoni mwa barabara,na vifua kama njiwa,utadhani wapo serious [emoji3][emoji3],gari zima wameshindwa kumkalisha huyo mpuuzi.
WamemdundaNasi abiria tunakaa kimya, ni kumpa kipigo na iwe funzo kwa wengine.
Leta updates tumuone alivyokula kichapoWamemdunda
...SEMA Wanaume wa Dar, Waoshindwa Hata Kuandamana tu....Sio wa Tanzania yote ! Wengine Wanajitambua.... [emoji57][emoji57]Ila wanaume wa Tz [emoji119][emoji119]
inasikitisha mkuuAfu mnataka bangi ziruhusiwe kuvutwa kama Jamaica & Afghanistan kwa akili hizi za kulia lia kwenye kila uzi, si madishi yatawalemea Madaktari kuyaseti upya kila siku?
Ubinadamu ni kazi/Humanity is work.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hajui tu angeweza pia kupigwa bisibisi akawai kunako.Huyo mshambuliaji nae hajachukua tahadhari
Na wakaja kulalama humu?,why mtu mmoja wanashindwa kufanya push back?abiria 15 na wanaume ndani wanashindwa na raia mmoja mwenye uniform!!,kenges
Kwani hao abiria humo ndani wameshindwa kumzuia huyo mwanajeshi aacha kujichukulia sheria mkononi? Wameshindwa kumpiga?
Ana bahati sana ni hatari kwake hata kama ana mafunzo.Hajui tu angeweza pia kupigwa bisibisi akawai kunako.
Na hao madereva daladala wanatembeaga na Mapanga hapo kwenye siti.
Kamkuta mlokole tu.
Na mwanajeshi ni mwembamba, means wangeweza kumchangia 😁😁
Kwani hao abiria humo ndani wameshindwa kumzuia huyo mwanajeshi aacha kujichukulia sheria mkononi? Wameshindwa kumpiga?
Kuna mdau kasema hapo juu nayeye kapondwa vizuri tu,sasa sijui ni abiria au dereva aliamua kujitoa muhangaAna bahati sana ni hatari kwake hata kama ana mafunzo.
Alistahili kupondwa wamefanya vizuriKuna mdau kasema hapo juu nayeye kapondwa vizuri tu,sasa sijui ni abiria au dereva aliamua kujitoa muhanga
Safi sana. Akachukue kambi nzima sasa maana ndio wanachoweza.Wamemdunda
Safi kabisa,wamezidi kujichukulia Sheria mkononi na kuonea raia wanyonge na waogaWamemdunda