Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

Kwa hiyo wewe ukichokozwa na mmoja uko tayari uuwe watu mia 🤨
Twende polepole muhishimiwa.Usimkadirie mtu atakasirika vipi au wapi.Tuheshimiane.Hasira au jazba haina sehemu wala wakati.Unamchokoza mtu ukitegemea asichukie sababu yupo mbele ya watu/wasafiri?Mtaumia kwa kuwajaribu watu wenye visirani.
 
Wewe ni mpumbavu sanaa... yule askari naee hana akilii anadhani watu wanaogopa zile jezi za bakabaka oohoo watu washavurugwa na maisha angeweza kuuliwaa kizembe sana anastahili kupewa adhabu kalii sana kudhalilisha nguo za jeshi
 
raia mpigwe tu na wanajeshi kwani hakuna namna. mmezidi mazoea ya kipuuzi acheni mnyooshwe nao
 
Back
Top Bottom