Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunyolewa haijawahi kuwa hiyari, ukishatuhumiwa kuwa ww ni mchawi basi jamaii au mtaa inakuchukua kinguvu kwenda kukunyoa kwa huyo bibi kukuondoa uchawi.Naskia kunyolewa ni hiari...sasa huyu alibebwa juu juu na kupigwa juu akiwa haelewi kitu...alidhalilishwa sana aise
Nimepeleleza tamaduni zao ni lazima mkubaliane...anywysKunyolewa haijawahi kuwa hiyari, ukishatuhumiwa kuwa ww ni mchawi basi jamaii au mtaa inakuchukua kinguvu kwenda kukunyoa kwa huyo bibi kukuondoa uchawi.
Huyo mwanajeshi inaonekana alimchezea mchezo huyo huyo mzee kwa kumuindia zengwe na mstaafu kwa ajiri ya mambo yao binafsi.
Chanzo ni mgogoro ardhi .lakini wakat wako katika majadiliano likatokea kundi kubwa la wahuni wakiwa na bajaj na pikipiki wakaanza mpiga na kumwitta mchawi ..wakampeleka huko kwa huyo bibi ili anyolewe nywele..kwamba ukinyolewa nywele unakua huna nguvu tena za kuloga🙌Sijaelewa kidogo hapo samahani. Wanamnyoa nywele kwa lengo gani? Na kumchukua kote sababu ni hiyo tu kumnyoa nywele?
mabishano lazima yawepo na hii ni kwa familia husika...mpaka ukubari sio jambo dogo, huyo mjeshi alitumia nguvu kwanza inaonekana sio swhwmu ya familia. Mfano ktk familia yenu watu wanakufa mfululizo bila kueleweka..makaenda kwa kalumanzila...akanyishewa kidole mmoja wenu au wanne 5 basi ujue mtaenda nyolewa wote mpaka mchawi apatikane...huko kwa kalimbwane.Nimepeleleza tamaduni zao ni lazima mkubaliane...anywys
Walimtrack kwa njia ganiMtu mmoja anayejulikana kwa jina la EMMANUEL MKOMAWAGI ambaye alikuwa mwanajeshi Arusha Monduli akishirikiana na mwenyekiti wa kijiji cha Kaporo Ifakara anayeitwa SAIDINA FAYA kumteka mzee mstaafu anayekadiriwa kuwa na miaka 80(jina Kapuni!)ambaye anasumbuliwa na kisukari na presha.
Mzee huyo alichukùliwa kwa udhalilishaji mkubwa akiwa kwake mchana kweupe.
Alikodishiwa wahuni wakaja wakambeba mzobe mzobe wakamweka kwenye bajaji wakiwa wanampiga na kumkanyaga kanyaga (aliwekwa sehemu ya kukanyagia miguu kwenye Bajaji.
Watekaji hao walimsafirisha usiku mzima hadi wilaya nyingine hadi kijiji kinaitwa Ihowanja wilaya ya Malinyi akiwa amenyang'anywa simu pamoja na wallet yake
Tunashukuru Jeshi la Polisi Ifakara mjini kwa kushirikiana na wasamarian wema kumtrack mwanajeshi na kujua yuko huko vijijini kwa bibi mnyoa nywele kwa lengo la kwenda kumnyoa nywele(imani za kishirikina zilizopitwa na wakati)
Tunaomba vyombo vya sheria vimsaidie Mzee huyu kupata haki yake kwani Mwanajeshi anajitapa amestaafu amelipwa kiasi kizuri cha pesa anatamba atashinda hii kesi..
Huyu mzee mstaafu alipokonywa hela alizokua nazo, simu, pamoja na kadi zote za benki na kadi ya NHIF.
Naombeni msaada wa "kisheria" kuhusiana na hili suala la UTEKAJI NA UDHALILISHAJI Kwa huyu mzee .
Natanguliza shukrani
Cc;@Pascal Mayala
Petro E. Mselewa
Naskia inabidi ifanyike familia kwa familia..sio kabila jingine kwa jingine .jua tu alitekwa kwa kupigwa akijua haajui kitu...alipoona anashindwa jitetea akakubali kusurrendermabishano lazima yawepo na hii ni kwa familia husika...mpaka ukubari sio jambo dogo, huyo mjeshi alitumia nguvu kwanza inaonekana sio swhwmu ya familia. Mfano ktk familia yenu watu wanakufa mfululizo bila kueleweka..makaenda kwa kalumanzila...akanyishewa kidole mmoja wenu au wanne 5 basi ujue mtaenda nyolewa wote mpaka mchawi apatikane...huko kwa kalimbwane.
Wananchi waende ofisi ya kijiji watie kufuli ili Mtendaji wa Kata au Mkuu wa Wilaya aende kuwasikiliza.Na mimi nimeambiwa hizo habari..wanakijiji wanaomba wapaze sauti aondolewe uenyekiti .wengi mno wamelalamika hayo ..serikali ya ccm iliangalie hili kwa umakini...binafsi simfahamu natamani nimuone
HaujanijibuNdugu yangu acha tu ..ndo maana nikalishukuru Jeshi la Polisi
Hapa nimegundua kitu. Polisi hawana uwezo wa kujua mahali ulipo ila wanajua eneo ulipo tu. ila mahali penyewe ulipo bado ni kizungumkuti kwao?Walimtrack mjesh....then wakajua yuko kijiji fulan...wakaenda kwa mganga wwakampga mkwara kua atakuja mtu fulan usimfanyie kitu tupe ushirik8ano..usipotupa tunakufutia leseni.so mganga alifanikisha kudakwa hao watu
Duh!Chanzo ni mgogoro ardhi .lakini wakat wako katika majadiliano likatokea kundi kubwa la wahuni wakiwa na bajaj na pikipiki wakaanza mpiga na kumwitta mchawi ..wakampeleka huko kwa huyo bibi ili anyolewe nywele..kwamba ukinyolewa nywele unakua huna nguvu tena za kuloga🙌
Mtu mmoja anayejulikana kwa jina la EMMANUEL MKOMAWAGI ambaye alikuwa mwanajeshi Arusha Monduli akishirikiana na mwenyekiti wa kijiji cha Kaporo Ifakara anayeitwa SAIDINA FAYA kumteka mzee mstaafu anayekadiriwa kuwa na miaka 80(jina Kapuni!)ambaye anasumbuliwa na kisukari na presha.
Mzee huyo alichukùliwa kwa udhalilishaji mkubwa akiwa kwake mchana kweupe.
Alikodishiwa wahuni wakaja wakambeba mzobe mzobe wakamweka kwenye bajaji wakiwa wanampiga na kumkanyaga kanyaga (aliwekwa sehemu ya kukanyagia miguu kwenye Bajaji.
Watekaji hao walimsafirisha usiku mzima hadi wilaya nyingine hadi kijiji kinaitwa Ihowanja wilaya ya Malinyi akiwa amenyang'anywa simu pamoja na wallet yake
Tunashukuru Jeshi la Polisi Ifakara mjini kwa kushirikiana na wasamarian wema kumtrack mwanajeshi na kujua yuko huko vijijini kwa bibi mnyoa nywele kwa lengo la kwenda kumnyoa nywele(imani za kishirikina zilizopitwa na wakati)
Tunaomba vyombo vya sheria vimsaidie Mzee huyu kupata haki yake kwani Mwanajeshi anajitapa amestaafu amelipwa kiasi kizuri cha pesa anatamba atashinda hii kesi..
Huyu mzee mstaafu alipokonywa hela alizokua nazo, simu, pamoja na kadi zote za benki na kadi ya NHIF.
Naombeni msaada wa "kisheria" kuhusiana na hili suala la UTEKAJI NA UDHALILISHAJI Kwa huyu mzee .
Natanguliza shukrani
Cc;@Pascal Mayala
Petro E. Mselewa
Akaweka na Bango kubwa la Tangazo pale Mikumi mbele ya Hospital upande wa kushotoKumbe Malinyi bado kuna Bibi ananyoa!
Enzi hizo, kulikuwa na Bibi Kalembwani, alikuwa ni hatari sana kwenye kuwanyoa wale wote waliopelekwa kwake kwa imani za kishirikina.
Baada ya kifo chake, mtoto/mjukuu wake Magungu alijaribu kurithi mikoba, na kuhamia pale Kiberege (sululu); kwa bahati mbaya alishindwa kuendeleza kipaji cha mama/bibi yake.