Mwanajeshi mstaafu ateka mzee wa miaka 80 Ifakara

Mwanajeshi mstaafu ateka mzee wa miaka 80 Ifakara

Hapa nimegundua kitu. Polisi hawana uwezo wa kujua mahali ulipo ila wanajua eneo ulipo tu. ila mahali penyewe ulipo bado ni kizungumkuti kwao?
Wao walijua alipo hadi kijiji alichokua...wakashikwa red handed wakiwa wanaelekea kwamganga
 
Wenye viti wengi wa kibaoni kaporo kikwawila Wana mambo ya ajabu sana. Wanauza viwanja mara mbili,,au kudhurumu kabisaa wananch wao.

Kuna mwenyekiti wa kikwawila anaitwa Magengele aliuza kiwanja cha mwananchii na kudai et anamuhifadhia pesa yake chaajabu Akala hiyo pesa mwananchi akaambulia kuwa ananunuliwa mboga na unga tu.

Kuna ndugu yangu kabisa alikua anauza kiwanja mwenyekiti Magengele akatafuta mteja akakata kiwanja nusu na akamwambia ndugu yangu kuwa kiwanja kimeuzika kwa pesa ndogo hivo kiwanja kilichobaki akakiuza yeye tena.

Kuna mwenyekiti mwingine anaitwa Hassan Yani ni mambo hayo hayo
Alafu kule wananchi hawana ushirikiano..kila mtu analalamika kuhusu ardhi hawaji unite kabisa...inakera mno
 
Wanazipeleka wapi na Kwanini wanapelekana kunyolewA
Mimi nikikutuumi wewe mchawi nakugharamia nakupeleka kwa Bibi huko unaondolewa uchawi kwa kukupa dawa na kunyolewa nywele zoote. Ulirudiwa mambo yako ya ulozi unakuafa. Zamani mimi nikikutuhumu alafu ukakataa naenda kushtaki kule kuwa nimekukamata mchawo lakini umekataa kwenda. Basi mimi ntanyolewa wanaota kujisafi na wewe utaondoka mwenyewe kwa gharama zako na huko utalipishwa faini.
 
Kwahiyo alitekwa ili tu akanyilewe nywelie?

1.) Ni kwanini lazima ziwe nywele zake huyo mzee na si mzee mwingine yeyote?

2.) Baada ya kumnyoa nywele faida yake ni ipi?
 
Mtu mmoja anayejulikana kwa jina la EMMANUEL MKOMAWAGI ambaye alikuwa mwanajeshi Arusha Monduli akishirikiana na mwenyekiti wa kijiji cha Kaporo Ifakara anayeitwa SAIDINA FAYA kumteka mzee mstaafu anayekadiriwa kuwa na miaka 80(jina Kapuni!)ambaye anasumbuliwa na kisukari na presha.

Mzee huyo alichukùliwa kwa udhalilishaji mkubwa akiwa kwake mchana kweupe.

Alikodishiwa wahuni wakaja wakambeba mzobe mzobe wakamweka kwenye bajaji wakiwa wanampiga na kumkanyaga kanyaga (aliwekwa sehemu ya kukanyagia miguu kwenye Bajaji.

Watekaji hao walimsafirisha usiku mzima hadi wilaya nyingine hadi kijiji kinaitwa Ihowanja wilaya ya Malinyi akiwa amenyang'anywa simu pamoja na wallet yake

Tunashukuru Jeshi la Polisi Ifakara mjini kwa kushirikiana na wasamarian wema kumtrack mwanajeshi na kujua yuko huko vijijini kwa bibi mnyoa nywele kwa lengo la kwenda kumnyoa nywele(imani za kishirikina zilizopitwa na wakati)

Tunaomba vyombo vya sheria vimsaidie Mzee huyu kupata haki yake kwani Mwanajeshi anajitapa amestaafu amelipwa kiasi kizuri cha pesa anatamba atashinda hii kesi..

Huyu mzee mstaafu alipokonywa hela alizokua nazo, simu, pamoja na kadi zote za benki na kadi ya NHIF.

Naombeni msaada wa "kisheria" kuhusiana na hili suala la UTEKAJI NA UDHALILISHAJI Kwa huyu mzee .

Natanguliza shukrani

Cc;@Pascal Mayala
Petro E. Mselewa
wewe ndio unatetea wachawi sio? huyo wangemptisha kwanza kwangu nim terminate then ndo anyolewe nywele
 
Hili suala la kuonea huwa linaniuma. Mie ningekuwa kiongozi tayari hili ningefuatilia na huyu mtekaji angekiona cha moto
 
Na mimi nimeambiwa hizo habari..wanakijiji wanaomba wapaze sauti aondolewe uenyekiti .wengi mno wamelalamika hayo ..serikali ya ccm iliangalie hili kwa umakini...binafsi simfahamu natamani nimuone
Kijiji cha Kapolo mboana mko karibu tu na Ofisi ya MJI iFAKARA?Nendeni kwa mkuu wa wilaya na DAS mkatoe malalamiko yenu huko.
 
Ndugu zangu wakazi wa wilaya ya Kilombero,Ulanga na Malinyi imani za kishirikina zimetanda kwenye akili zao.
Wanawaza uchawi + kupelekana kwa Kalembwana kunyoona nywele pamoja na mavyuzii ni ujinga sana ndio maana umasikini wa kipato hadi wa akili ni mkubwa sana kwa jamii ile.
Nafikiri kwanza hao wanyoa nywele wakamatwe,maana inawezekana Hawa ndo wapiga ramli chonganishi
 
Aisee sikuona hii.
Nini maana ya kuwa Mwanasheri wewe kiazi?
Uache uchoko Sasa,si kila mwanasheria lazima akimbizane na kesi mahakamani kila siku,,Kuna wanasheria kazi yao kwenye kushulikia mikataba,kuna wanafundisha,kwenye ajira,ajali,bima,n.k Sasa pwagu unavyoelewa ukiwa mwanasheria lazima kila siku uwe mahakamani wakili wa mshataki au mshatakiwa
 
Hujui hata majukumu ya mwanasheria ni yapi sasa na-argue nini na wewe kima

Kacheze na mama'ko huko
Kila wakili ni mwanasheria, lakini si kila mwanasheria ni wakili. Wakili ni zaidi ya mwanasheria. Ili uwe wakili unaanza kuwa mwanasheria.

Mwanasheria ni mtu yeyote aliyesoma kozi ya sheria katika chuo kinachotambulika na kuhitimu, kufaulu na kupata shahada ya sheria (LLB).

Huyu sasa ndiye anaitwa mwanasheria. Moja ya kazi anazoweza kufanya ni pamoja kutoa ushauri wa kisheria katika baadhi tu ya mambo.

Wakili. Huyu ni mtu yeyote aliyesoma kozi ya sheria katika chuo kinachotambulika na kuhitimu, kufaulu na kupata shahada ya sheria (LLB).
Usipoelewa Tena wewe ni popoma
 
Back
Top Bottom