Mwanajeshi mstaafu ateka mzee wa miaka 80 Ifakara

Hapa nimegundua kitu. Polisi hawana uwezo wa kujua mahali ulipo ila wanajua eneo ulipo tu. ila mahali penyewe ulipo bado ni kizungumkuti kwao?
Wao walijua alipo hadi kijiji alichokua...wakashikwa red handed wakiwa wanaelekea kwamganga
 
Alafu kule wananchi hawana ushirikiano..kila mtu analalamika kuhusu ardhi hawaji unite kabisa...inakera mno
 
Wanazipeleka wapi na Kwanini wanapelekana kunyolewA
Mimi nikikutuumi wewe mchawi nakugharamia nakupeleka kwa Bibi huko unaondolewa uchawi kwa kukupa dawa na kunyolewa nywele zoote. Ulirudiwa mambo yako ya ulozi unakuafa. Zamani mimi nikikutuhumu alafu ukakataa naenda kushtaki kule kuwa nimekukamata mchawo lakini umekataa kwenda. Basi mimi ntanyolewa wanaota kujisafi na wewe utaondoka mwenyewe kwa gharama zako na huko utalipishwa faini.
 
Kwahiyo alitekwa ili tu akanyilewe nywelie?

1.) Ni kwanini lazima ziwe nywele zake huyo mzee na si mzee mwingine yeyote?

2.) Baada ya kumnyoa nywele faida yake ni ipi?
 
wewe ndio unatetea wachawi sio? huyo wangemptisha kwanza kwangu nim terminate then ndo anyolewe nywele
 
Hili suala la kuonea huwa linaniuma. Mie ningekuwa kiongozi tayari hili ningefuatilia na huyu mtekaji angekiona cha moto
 
Na mimi nimeambiwa hizo habari..wanakijiji wanaomba wapaze sauti aondolewe uenyekiti .wengi mno wamelalamika hayo ..serikali ya ccm iliangalie hili kwa umakini...binafsi simfahamu natamani nimuone
Kijiji cha Kapolo mboana mko karibu tu na Ofisi ya MJI iFAKARA?Nendeni kwa mkuu wa wilaya na DAS mkatoe malalamiko yenu huko.
 
Nafikiri kwanza hao wanyoa nywele wakamatwe,maana inawezekana Hawa ndo wapiga ramli chonganishi
 
Aisee sikuona hii.
Nini maana ya kuwa Mwanasheri wewe kiazi?
Uache uchoko Sasa,si kila mwanasheria lazima akimbizane na kesi mahakamani kila siku,,Kuna wanasheria kazi yao kwenye kushulikia mikataba,kuna wanafundisha,kwenye ajira,ajali,bima,n.k Sasa pwagu unavyoelewa ukiwa mwanasheria lazima kila siku uwe mahakamani wakili wa mshataki au mshatakiwa
 
Hujui hata majukumu ya mwanasheria ni yapi sasa na-argue nini na wewe kima

Kacheze na mama'ko huko
Kila wakili ni mwanasheria, lakini si kila mwanasheria ni wakili. Wakili ni zaidi ya mwanasheria. Ili uwe wakili unaanza kuwa mwanasheria.

Mwanasheria ni mtu yeyote aliyesoma kozi ya sheria katika chuo kinachotambulika na kuhitimu, kufaulu na kupata shahada ya sheria (LLB).

Huyu sasa ndiye anaitwa mwanasheria. Moja ya kazi anazoweza kufanya ni pamoja kutoa ushauri wa kisheria katika baadhi tu ya mambo.

Wakili. Huyu ni mtu yeyote aliyesoma kozi ya sheria katika chuo kinachotambulika na kuhitimu, kufaulu na kupata shahada ya sheria (LLB).
Usipoelewa Tena wewe ni popoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…