Mwanajeshi Mstaafu wa Marekani adai Nchi za Afrika zirudishwe kwenye Utawala wa Kikoloni kwa kushindwa kujisimamia zenyewe

Mwanajeshi Mstaafu wa Marekani adai Nchi za Afrika zirudishwe kwenye Utawala wa Kikoloni kwa kushindwa kujisimamia zenyewe

Waache unyonyaji wao wa nguvu kupitia World Bank,IMF na World Trade Order.Uliona wapi mteja anapanga bei ya mali ghafi?
Wakiona viongozi wanazungumza kuhusu Pan Africanism watafanya kila njama wapindue huo utawala na kuweka vibaraka wao kwa kutumia CIA.Mifano ni mingi tokea enzi za Patrice Lumumba,Kwame Nkrumah,Samuel Doe na miaka ya karibuni Muamar Gadaffi.
Kijana mwanamapinduzi Ibrahim Traore wa Burkina Faso ameonyesha njia tutarajie wamuache.
Ruto alijaribu kujitutumua ameitwa na kutishiwa ameufyata.Huwezi kumsikia tena akifungua mdomo kuhusu utumiaji wa dola wala unfair World Trade Order.
Nchi 10 zilizokuwa chini ya utawala wa Ufaransa zimechukua hatua ya kujitoa kwenye mkataba wa unyonyaji wa kutuma mapato yao Ufaransa.Na Ufaransa iwagaie inavyoona sawa.
Umoja wa Afrika (AU) akianza kiongozi yeyote kuzungumzia Umoja wa kiuchumi anapigwa vita haraka sana.
Marekani na huyo mwanajeshi ni mamba.Tokea lini mamba akamuonea huruma anayemuwinda na kutaraji Kumla?
Shida ni uchawa tu mkuu, wewe unazani, CIA anakuja tu kukutungua apo kwako bila kumtumia chawa alie kalibu yako.

Refer case ya Mobutu na lumumba.
 
Naungana na mjeshi Kwa kauli yake
Mara zote Huwa Nasema wakoloni warudi tu watutawale.

Kwa akiri yangu ndgo Kila nikiona majengo ya hospital kubwa nyingi ni wamisionari

Mfano sengerema mission,bugando,kcmc,nk serikali ipi kubwa ya kuzizidi hizo tofauti na ya chato Kwa Sasa? Haya Leo tuna miaka mingapi?

Ukija kwenye reli Kuna reli imejengwa na mbogo?

Hakika waje hata Leo jioni tu watutawale Hawa.
 
Shida ya viongozi tulionao hawana maono na uzalendo kucha kujipendekeza tu kwa watu weupe
 
Erik Prince, afisa wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Marekani na mwanzilishi wa kampuni ya binafsi ya kijeshi ya 'Blackwater', hivi karibuni alitoa maoni yake kwamba nchi za Kiafrika zinapaswa kurudishwa kwenye ukoloni kwa sababu viongozi wake wana ufisadi na ubinafsi.

View attachment 3011772

Prince alitoa mtazamo huu katika klipu fupi iliyochapishwa kwenye mtandao wa X na ‘Africa Facts Zone,’ akipendekeza kwamba ikiwa mataifa ya Afrika yanashindwa kujitawala, ni wakati wao kuvamiwa tena.

"Ni wakati wetu wa kurudisha kofia ya kifalme na kusema tutatawala hizo nchi ikiwa hazina uwezo wa kujitawala... Unaweza kusema Afrika nzima hawana uwezo wa kujitawala na kunufaisha raia wao kwa sababu viongozi wa serikali zao wanapora mali na kuziweka kwenye mifuko yao kisha wanakwenda kufanya manunuzi (kula bata) katika mji wa Paris, nchini Ufaransa badala kusaidia raia wake" Erik Prince Alisema.

Kwa mtu kama Erik Prince ambaye amewahi kuhudumu katika nafasi ya juu ya jeshi la wanamaji nchini Marekani na kuwa mwanzilishi wa kampuni binafsi ya kijeshi (Blackwater) kuzungumza kauli kama hii inaweza kuwa tishio kwa serikali za Afrika na raia wake hata kama alipitiwa katika mazungumzo.

Licha ya nchi za Afrika kuwa na mapungufu yake kama ilivyo kwa nchi zingine duniani haitoi uhalali kwa nchi za magharibi kurudisha ukoloni wao katika bara hilo kwani ni kinyume na mkataba ulioazimiwa mwaka 1960 na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu kuondoa ukoloni na kuziacha nchi zote duniani kujitawala na kuwa wamiliki halali wa maliasili zao.

Nini maoni yako kuhusu kauli ya Erik Prince?
Inauma sana. Ila ndo ukweli
 
Tutashitakiwa MIGA tukisimamia madini yetu~~~ Lisu
Ukiambiwa ulete ushahidi aliposema hivyo kama ulivyoandika utaishia kujichekesha tu.

Na kama akili zenyewe ndio kama zako basi huyo Soja yupo sahihi.
 
Hii inatia hasira na dharau za wazi. Mtu aliyeshindwa kujitawala ni mnyama na sio binadamu. Na kinachosikitisha zaidi ni hawa wajinga humu wanaokubaliana na huyo mzungu msenge, na kulaumu viongozi wakati tatizo ni la wananchi wa nchi husika. Kiasi cha kuprove point yake aliyoipinda kinafiki na kuwakamata maboya yakiwemo ya humu.

Hata kama watu wameshindwa kujiongoza, haimaamishi mwingine kutoka nje aje kuwaongoza, sababu hakuna mtu mwenye mamlaka juu ya mwingine bali mtu binafsi. Hakuna, na ndio maana ya kuwa binadamu kamili anayejitambua. Na atakayethubutu basi kifo ndio malipo yake.

Kama wananchi mnashindwa kuweka serikali mnayoitaka nchini iwe kwa amani au kwa damu, basi inamake sense kukubaliana na huyo msenge. Hicho ndicho alichomaanisha na inasikitisha kuona hayo majitu yasiyokuwa na akili, yasiyojitambua, yasiyojiheshimu, yasiyotambua thamani ya utu na uhuru wao, yanayokimbia wajibu wao na mavivu yakijitokeza humu.

Huyo msenge ameshindwa kutawala matoto yake ya kiume yavaa magauni, masenge, wasagaji na midume inayooana wao kwa wao huko kwao alafu anaongelea kutawala bara zima? Kumamake afanye kazi level zame. Huyo mbwa nitamfuata hukohuko Twitter.

Na anayekubaliana na huyo nguruwe msenge basi tambua wewe ni Nyani. Ulitakiwa uwe ndani ya banda la chuma na minyororo shingoni sababu ndicho unachostahili. Kwa kutukana juhudi za baba wa taifa na wasaka uhuru na kuwa hasara kwa taifa.
 
Laana tuliyopigwa watu weusi ni Mungu peke ambae anaweza kutunusuru. Viongozi tuliowachagua hawana huruma kabisa na wananchi. Bahari, maziwa mito pamoja na madini hayajasaidia kuondoa umaskini tulionao. Barabara, reli, anga vyote ni hoi kabisa. Maji ya uhakika hakuna.
Mifumo ya elimu waliyoiweka kwa watoto wetu hawathubutu watoto wao waitumie kwa sababu wanajua ni mibovu na haina tija kwa taifa.
Mpaka sasa kwa mfano Tanzania bado Lugha rasmi haijulikani kati ya Kiswahili au Kiingereza. Shule zinafundisha kwa Lugha ya kiswahili na Wananchi 95% wanazungumza kiswahili, lakini interviewa za kazi, mikataba ya nchi, sheria za nchi zipo kwenye kiingereza. Hatueleweki inshort.
Mimi pia natamani sana ukoloni urudi kwenye nchi za kiafrika hasa zinazokaliwa na watu weusi.
Wabunge wanaona safi tu kujiongezea Mishahara yao na posho, wanatunga kanuni za kuzuia viinua mgongo vya watu maskini kwamba hawawezi kujisimamia kwnye matumizi wakiwa wazee. Lakini cha ajabu bungeni kuna wazee wenye zaidi ya miaka 60, wanapomaliza muda wao wanapewa pesa zao taslimu kwamba wanaweza kujisimamia.
Maumivu ni mengi sana kwa wananchi wa kawaida ambayo hakuna kiongozi yoyote ambae anafikiria kumsaidia.
Huyo mwanajeshi hakuropoka lakini ndio uhalisia wenyewe
 
Hii inatia hasira na dharau za wazi. Mtu aliyeshindwa kujitawala ni mnyama na sio binadamu. Na kinachosikitisha zaidi ni hawa wajinga humu wanaokubaliana na huyo mzungu msenge, na kulaumu viongozi wakati tatizo ni la wananchi wa nchi husika. Kiasi cha kuprove point yake aliyoipinda kinafiki na kuwakamata maboya yakiwemo ya humu.

Hata kama watu wameshindwa kujiongoza, haimaamishi mwingine kutoka nje aje kuwaongoza, sababu hakuna mtu mwenye mamlaka juu ya mwingine bali mtu binafsi. Hakuna, na ndio maana ya kuwa binadamu kamili anayejitambua. Na atakayethubutu basi kifo ndio malipo yake.

Kama wananchi mnashindwa kuweka serikali mnayoitaka nchini iwe kwa amani au kwa damu, basi inamake sense kukubaliana na huyo msenge. Hicho ndicho alichomaanisha na inasikitisha kuona hayo majitu yasiyokuwa na akili, yasiyojitambua, yasiyojiheshimu, yasiyotambua thamani ya utu na uhuru wao, yanayokimbia wajibu wao na mavivu yakijitokeza humu.

Huyo msenge ameshindwa kutawala matoto yake ya kiume yavaa magauni, masenge, wasagaji na midume inayooana wao kwa wao huko kwao alafu anaongelea kutawala bara zima? Kumamake afanye kazi level zame. Huyo mbwa nitamfuata hukohuko Twitter.

Na anayekubaliana na huyo nguruwe msenge basi tambua wewe ni Nyani. Ulitakiwa uwe ndani ya banda la chuma na minyororo shingoni sababu ndicho unachostahili. Kwa kutukana juhudi za baba wa taifa na wasaka uhuru na kuwa hasara kwa taifa.
Wewe ni mtoto wa waziri, mbunge,au balozi wa nyumba kumi? Maana siyo kwa mshtuko huo!! Relax mkuu,mrija haukatwi leo wala kesho, nchi ni ya kwenu na wazazi wenu tu hii mkuu, mtakula hadi mvimbiwe.
 
Wewe ni mtoto wa waziri, mbunge,au balozi wa nyumba kumi? Maana siyo kwa mshtuko huo!! Relax mkuu,mrija haukatwi leo wala kesho, nchi ni ya kwenu na wazazi wenu tu hii mkuu, mtakula hadi mvimbiwe.
I'm a fuking nobody, isipokuwa mimi ni Muafrika, mwanaume na mtu ninayejiheshimu na kujitambua. Na wewe utakuwa ni yule Nyani niliyekuongelea. Niko sahihi na ndio maana umekuja kujitetea hapa baada ya kujihisi.

Acha kutaka kutawalia na wanaume wenzako ndani ya nyumba yako na amua kuweka Serikali unayoitaka madarakani eidha kwa maneno na akili au kwa nguvu. Otherwise wewe ni Nyani na ni haki yako kutawaliwa na huyo Mzungu msenge.
 
Hii ni fact waje tuwape tu tuwape mitano kwanza watutawale tukiyaona mabadiliko makubwa sasa ndio tuwape milele
 
Kasema ukweli kabisa.mfano yule kiongozi mama nani sikumbuki vizuri.Alienda Korea kusini akaomba apewe mkopo Kwa riba kubwa mara saba ya huo mkopo na yeye akawagawia mahekari ya kuchuma madini ya kinywe.huu ni ujuha kabisa na ni Bora watawaliwe tu
 
Back
Top Bottom