Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ni uchawa tu mkuu, wewe unazani, CIA anakuja tu kukutungua apo kwako bila kumtumia chawa alie kalibu yako.Waache unyonyaji wao wa nguvu kupitia World Bank,IMF na World Trade Order.Uliona wapi mteja anapanga bei ya mali ghafi?
Wakiona viongozi wanazungumza kuhusu Pan Africanism watafanya kila njama wapindue huo utawala na kuweka vibaraka wao kwa kutumia CIA.Mifano ni mingi tokea enzi za Patrice Lumumba,Kwame Nkrumah,Samuel Doe na miaka ya karibuni Muamar Gadaffi.
Kijana mwanamapinduzi Ibrahim Traore wa Burkina Faso ameonyesha njia tutarajie wamuache.
Ruto alijaribu kujitutumua ameitwa na kutishiwa ameufyata.Huwezi kumsikia tena akifungua mdomo kuhusu utumiaji wa dola wala unfair World Trade Order.
Nchi 10 zilizokuwa chini ya utawala wa Ufaransa zimechukua hatua ya kujitoa kwenye mkataba wa unyonyaji wa kutuma mapato yao Ufaransa.Na Ufaransa iwagaie inavyoona sawa.
Umoja wa Afrika (AU) akianza kiongozi yeyote kuzungumzia Umoja wa kiuchumi anapigwa vita haraka sana.
Marekani na huyo mwanajeshi ni mamba.Tokea lini mamba akamuonea huruma anayemuwinda na kutaraji Kumla?
Inauma sana. Ila ndo ukweliErik Prince, afisa wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Marekani na mwanzilishi wa kampuni ya binafsi ya kijeshi ya 'Blackwater', hivi karibuni alitoa maoni yake kwamba nchi za Kiafrika zinapaswa kurudishwa kwenye ukoloni kwa sababu viongozi wake wana ufisadi na ubinafsi.
View attachment 3011772
Prince alitoa mtazamo huu katika klipu fupi iliyochapishwa kwenye mtandao wa X na ‘Africa Facts Zone,’ akipendekeza kwamba ikiwa mataifa ya Afrika yanashindwa kujitawala, ni wakati wao kuvamiwa tena.
"Ni wakati wetu wa kurudisha kofia ya kifalme na kusema tutatawala hizo nchi ikiwa hazina uwezo wa kujitawala... Unaweza kusema Afrika nzima hawana uwezo wa kujitawala na kunufaisha raia wao kwa sababu viongozi wa serikali zao wanapora mali na kuziweka kwenye mifuko yao kisha wanakwenda kufanya manunuzi (kula bata) katika mji wa Paris, nchini Ufaransa badala kusaidia raia wake" Erik Prince Alisema.
Kwa mtu kama Erik Prince ambaye amewahi kuhudumu katika nafasi ya juu ya jeshi la wanamaji nchini Marekani na kuwa mwanzilishi wa kampuni binafsi ya kijeshi (Blackwater) kuzungumza kauli kama hii inaweza kuwa tishio kwa serikali za Afrika na raia wake hata kama alipitiwa katika mazungumzo.
Licha ya nchi za Afrika kuwa na mapungufu yake kama ilivyo kwa nchi zingine duniani haitoi uhalali kwa nchi za magharibi kurudisha ukoloni wao katika bara hilo kwani ni kinyume na mkataba ulioazimiwa mwaka 1960 na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu kuondoa ukoloni na kuziacha nchi zote duniani kujitawala na kuwa wamiliki halali wa maliasili zao.
Nini maoni yako kuhusu kauli ya Erik Prince?
Ukiambiwa ulete ushahidi aliposema hivyo kama ulivyoandika utaishia kujichekesha tu.Tutashitakiwa MIGA tukisimamia madini yetu~~~ Lisu
Wewe ni mtoto wa waziri, mbunge,au balozi wa nyumba kumi? Maana siyo kwa mshtuko huo!! Relax mkuu,mrija haukatwi leo wala kesho, nchi ni ya kwenu na wazazi wenu tu hii mkuu, mtakula hadi mvimbiwe.Hii inatia hasira na dharau za wazi. Mtu aliyeshindwa kujitawala ni mnyama na sio binadamu. Na kinachosikitisha zaidi ni hawa wajinga humu wanaokubaliana na huyo mzungu msenge, na kulaumu viongozi wakati tatizo ni la wananchi wa nchi husika. Kiasi cha kuprove point yake aliyoipinda kinafiki na kuwakamata maboya yakiwemo ya humu.
Hata kama watu wameshindwa kujiongoza, haimaamishi mwingine kutoka nje aje kuwaongoza, sababu hakuna mtu mwenye mamlaka juu ya mwingine bali mtu binafsi. Hakuna, na ndio maana ya kuwa binadamu kamili anayejitambua. Na atakayethubutu basi kifo ndio malipo yake.
Kama wananchi mnashindwa kuweka serikali mnayoitaka nchini iwe kwa amani au kwa damu, basi inamake sense kukubaliana na huyo msenge. Hicho ndicho alichomaanisha na inasikitisha kuona hayo majitu yasiyokuwa na akili, yasiyojitambua, yasiyojiheshimu, yasiyotambua thamani ya utu na uhuru wao, yanayokimbia wajibu wao na mavivu yakijitokeza humu.
Huyo msenge ameshindwa kutawala matoto yake ya kiume yavaa magauni, masenge, wasagaji na midume inayooana wao kwa wao huko kwao alafu anaongelea kutawala bara zima? Kumamake afanye kazi level zame. Huyo mbwa nitamfuata hukohuko Twitter.
Na anayekubaliana na huyo nguruwe msenge basi tambua wewe ni Nyani. Ulitakiwa uwe ndani ya banda la chuma na minyororo shingoni sababu ndicho unachostahili. Kwa kutukana juhudi za baba wa taifa na wasaka uhuru na kuwa hasara kwa taifa.
Kabisa namuunga mkono huyo mmarekaniYupo sahihi
I'm a fuking nobody, isipokuwa mimi ni Muafrika, mwanaume na mtu ninayejiheshimu na kujitambua. Na wewe utakuwa ni yule Nyani niliyekuongelea. Niko sahihi na ndio maana umekuja kujitetea hapa baada ya kujihisi.Wewe ni mtoto wa waziri, mbunge,au balozi wa nyumba kumi? Maana siyo kwa mshtuko huo!! Relax mkuu,mrija haukatwi leo wala kesho, nchi ni ya kwenu na wazazi wenu tu hii mkuu, mtakula hadi mvimbiwe.
Una mimba ya Lissu?Tutashitakiwa MIGA tukisimamia madini yetu~~~ Lisu
Mkuu nieleweshe mtu ambaye ni mnyama kashindwa kujitawala na sio binadamu? Una maana gani mkuu?Mtu aliyeshindwa kujitawala ni mnyama na sio binadamu.
NAKAZIA KWA ERUFI KUBWA ZIMEJAA WAJINGA MFANO WA CCMMaoni yangu ni kwamba nchi za afrika zimejaa wapumbavu hasahasa viongozi wanaotakiwa kunyongwa.