Mwanajeshi mstaafu wa Ujerumani na nia mbaya dhidi ya Tanzania

Hilo neno demokrasia ndio lililotumika kusambaratisha Libya na Arab countries
 
Hilo neno demokrasia ndio lililotumika kusambaratisha Libya na Arab countries

Mbona Mauritius, Botswana, Seychelles, Zambia, Namibia hazijasambaratika na demokrasia yao wanaifuata?? na uchumi wa hizo nchi ni mzuri tu ?? Sisi hata huu utaratibu waliojitungia wenyewe CCM hawaufuati na hawataki kuufuata , Wanatumia jeshi na vyombo vyengina vya dola kuuwa watu ili kubakia madarakani
 
What an idiot. Propaganda ya kipumbavu kabisa hii! Hivi mnafikiri Watanzania bado tuko enzi za "zidumu fikra" ee? Endeleeni kudhulumu kura, kuteka watu, na kupoteza watu, lakini tambueni kwamba mwisho wenu uko karibu sana nyama nyie.
 
Jibu hoja alizoziibua huyo bwana badala ya kuanza kuchambua personality yake...
 
Kwa hiyo suluhu ni bunge la EU?
 
[emoji23] kuwa nyani raha
Anaafadhari nyani,kuliko mtanzania.
Sisi ni sawa na mavi ya binaadam mbele ya watawala wa ccm.
Huko tuendako waroma watamtangaza nyerere kuwa mtakatifu au mwenyeheri lakini watanzania tutakuwa tunamlaani kwa kutufanya watumwa wa ccm ndani ya nchi yetu wenyewe

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 

Nyerere alipinduliwa Na wanajeshi Na waliomrudisha madarakani ni waingereza , kuanzia hapo alikuwa kibaraka wao tu
 
What an idiot. Propaganda ya kipumbavu kabisa hii! Hivi mnafikiri Watanzania bado tuko enzi za "zidumu fikra" ee? Endeleeni kudhulumu kura, kuteka watu, na kupoteza watu, lakini tambueni kwamba mwisho wenu uko karibu sana nyama nyie.
Kama aliyeshitakiwa ni Mbowe halafu CHADEMA wote wanaona hiyo ni kesi yao, wanajaa mahakamani kuanzia saa 11 alfajiri hiyo ni zaidi ya zidumu fikra. Kizazi chenu hiki ni bure kabisa si sawa na kizazi cha mke wa Mbowe ambaye anaendelea na majukumu yake.
Yaani Mbowe kawateka kuliko hata wale mitume 12 wa Yesu maana wele 12 alipokamatwa Yesu tu wakaenda zao wakamuacha Yesu peke yake ahangaike na yake ili maandiko yatimie.
Mbowe ni Gaidi walau kwa kiwango cha tuhuma.
 

Nani kawasha mwenge mara hii ?? Ulishatoa pesa za mchango wa mafuta ya mwenge ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…