Mwanajeshi wa Rwanda, amejikuta matatani nchini Msumbiji baada ya wananchi kumshtukia akiwa amevaa sare za jeshi la polisi wa Msumbiji

Washukuru sana hao Wanyarwanda kwa kuwalinda lasivyo wale magaidi wangewachinja Kila siku
 
Duh!...hii kali.

T14 Armata
 
Mozambique nao ni wapuuzi tu badala ya kukamilisha kazi kwa kum restisha, wenyewe wamemzunguka na kuanza kumchamba, wanakuwa kama wazaramo bana?
 
Wako kuzuia maandamano halali ya wananchi wa Msumbiji? Inaonekana hukuelewa somo
 
Wako kuzuia maandamano halali ya wananchi wa Msumbiji? Inaonekana hukuelewa somo
Kabisa hakuelewa somo ,hayo ni maandamano ya kisiasa ya ndani zaidi , haikua suala la kitisho toka nje au ugaidi ambapo katika mikataba yao Rwanda walikua ni kudeal na waasi tu hapo ni ka wamevuka mipaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…