Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Bora usiwe mwanasiasa nchi hizo, nenda zako nje ya nchi huko uka secure future yakoNi mauaji ya kutisha kwa wapinzani wa watawala wa Africa Mashariki
Kuna nini Africa Mashariki? Wapinzani wa watawala wanauliwa kila siku kwa style inayofanana.
Jamaa amechinjwa kama kuku👇
===========
Aliyekuwa Sajenti Meja wa Jeshi la Rwanda, ambaye baadaye aligeuka kuwa mkosoaji mkubwa wa Rais Paul Kagame, amekutwa amekatwa kichwa nchini Uganda, nchi jirani na Rwanda.
Robert Kabera, mwenye umri wa miaka 50, alikimbia Rwanda baada ya kutuhumiwa kwa kosa la unyanyasaji wa kingono, tuhuma ambazo alizikanusha. Alikimbilia Uganda na kuomba hifadhi, akidai kuwa alikuwa akifanyiwa vitendo vya kumtesa kisiasa.
Msemaji wa Polisi wa Uganda, Kituuma Rusoke, alisema Jumatatu kuwa kichwa cha Kabera kilikuwa bado hakijapatikana. Mwili wake uligunduliwa na wakazi wa eneo hilo mwishoni mwa wiki katika viunga vya jiji la Kampala.
Serikali ya Rwanda haijatoa tamko la hadharani kuhusu mauaji hayo. Wakosoaji kadhaa wa Rais Kagame wameuawa ndani na nje ya Rwanda.
Mjane wa Kabera, Jeanne d'Arc Rwigema Uwizeye, aliiambia BBC Great Lakes kupitia ujumbe wa maandishi kuwa sasa ana hofu kuhusu usalama wa familia yake.
“Ni jambo la kutisha. Ninahisi kama nimechanganyikiwa; mimi na watoto hatuna usalama,” alisema.
Kwa mujibu wa familia yake, Kabera alikuwa amesafiri kwenda kukagua eneo la ujenzi lililoko umbali wa takribani kilomita 45 kutoka Kampala kabla ya kuuawa.
View attachment 3693740
Sasa huyu alikosea, Uganda si nchi salama ya kwenda. Museveni ni liuaji kama Kagame halafu unakweenda huko!Ni mauaji ya kutisha kwa wapinzani wa watawala wa Africa Mashariki
Kuna nini Africa Mashariki? Wapinzani wa watawala wanauliwa kila siku kwa style inayofanana.
Jamaa amechinjwa kama kuku👇
===========
Aliyekuwa Sajenti Meja wa Jeshi la Rwanda, ambaye baadaye aligeuka kuwa mkosoaji mkubwa wa Rais Paul Kagame, amekutwa amekatwa kichwa nchini Uganda, nchi jirani na Rwanda.
Robert Kabera, mwenye umri wa miaka 50, alikimbia Rwanda baada ya kutuhumiwa kwa kosa la unyanyasaji wa kingono, tuhuma ambazo alizikanusha. Alikimbilia Uganda na kuomba hifadhi, akidai kuwa alikuwa akifanyiwa vitendo vya kumtesa kisiasa.
Msemaji wa Polisi wa Uganda, Kituuma Rusoke, alisema Jumatatu kuwa kichwa cha Kabera kilikuwa bado hakijapatikana. Mwili wake uligunduliwa na wakazi wa eneo hilo mwishoni mwa wiki katika viunga vya jiji la Kampala.
Serikali ya Rwanda haijatoa tamko la hadharani kuhusu mauaji hayo. Wakosoaji kadhaa wa Rais Kagame wameuawa ndani na nje ya Rwanda.
Mjane wa Kabera, Jeanne d'Arc Rwigema Uwizeye, aliiambia BBC Great Lakes kupitia ujumbe wa maandishi kuwa sasa ana hofu kuhusu usalama wa familia yake.
“Ni jambo la kutisha. Ninahisi kama nimechanganyikiwa; mimi na watoto hatuna usalama,” alisema.
Kwa mujibu wa familia yake, Kabera alikuwa amesafiri kwenda kukagua eneo la ujenzi lililoko umbali wa takribani kilomita 45 kutoka Kampala kabla ya kuuawa.
View attachment 3693740
Aisee! Jamaa nae Yani anakimbilia Uganda??? Walau KenyaNi mauaji ya kutisha kwa wapinzani wa watawala wa Africa Mashariki
Kuna nini Africa Mashariki? Wapinzani wa watawala wanauliwa kila siku kwa style inayofanana.
Jamaa amechinjwa kama kuku👇
===========
View attachment 3693740
Askari wa zamani wa ngazi ya juu katika jeshi la Rwanda, ambaye aligeuka na kuwa mkosoaji mkubwa wa Rais Paul Kagame, amekutwa amekatwa kichwa nchini Uganda.
Robert Kabera, mwenye umri wa miaka 50, alikimbia Rwanda baada ya kutuhumiwa kwa unyanyasaji wa kijinsia, tuhuma ambazo alizikanusha.
Alitafuta hifadhi nchini Uganda, akitoa sababu za mateso ya kisiasa.
Msemaji wa polisi ya Uganda, Kituuma Rusoke, amesema leo Jumatatu kuwa kichwa cha Kabera kilikuwa bado hakijapatikana.
Mwili wake uligunduliwa na wakazi wa eneo hilo nje kidogo ya mji wa Kampala mwishoni mwa wiki.
Serikali ya Rwanda haijatoa maoni yake hadharani kuhusu mauaji hayo. Wakosoaji kadhaa wa Kagame wameuawa, wakiwa nchini Rwanda na nje ya nchi.
Mjane wake, Jeanne d'Arc Rwigema Uwizeye, aliiambia idhaa ya BBC kupitia ujumbe wa maandishi kwamba sasa anahofia usalama wa familia yake.
"Inatisha. Ninajisikia kama mwendawazimu, watoto na mimi hatuna usalama," alisema.
Kulingana na familia yake, Kabera alikuwa amesafiri kwenda kukagua eneo la ujenzi lenye umbali wa kilomita 45 hivi (maili 30) nje ya Kampala kabla ya kifo chake.
Kabera alijijengea umaarufu kama mwanamuziki na mtayarishaji wa maudhui kwenye mtandao wa YouTube, akivutia zaidi ya wafuatiliaji (subscribers) 144,000 kwenye chaneli yake iliyokuwa na video zaidi ya 800, nyingi zikiwa zinamkosoa Kagame na utawala wake.
Akijibu habari za mauaji yake, kundi la upinzani lililo uhamishoni la Rwanda National Congress (RNC) limetoa wito wa kufanyika uchunguzi wa kina na wahusika kufikishwa kwenye vyombo vya sheria.
Katika taarifa yake kwenye mtandao wa X, RNC ilisema: "Leo, familia yake inaomboleza, sauti yake imepotea, na Wanyarwanda walioko uhamishoni wanakabiliwa na swali la kutisha: wapi tunaweza kuwa salama?"
Kifo chake kinaongeza hofu kuhusu usalama wa wanaharakati wa upinzani wa Rwanda wanaoishi uhamishoni.
Mwaka 2014, Patrick Karegeya, aliyekuwa mkuu wa ujasusi wa Rwanda ambaye alisaidia kuanzisha RNC, alikutwa amekufa katika chumba chake cha hoteli mjini Johannesburg, Afrika Kusini.
Karegeya alitofautiana na Rais Paul Kagame na alikamatwa mara mbili, akitumikia kifungo cha miezi 18 jela kwa utovu wa nidhamu na utoro kabla ya kukimbilia Afrika Kusini mwaka 2007, ambapo aligeuka kuwa mkosoaji mkubwa wa serikali.
Kufuatia kifo chake, Kagame alitoa kauli zilizotafsiriwa kwa upana kama onyo kwa wakosoaji wengine.
"Mtu yeyote aliye hai ambaye anaweza kuwa anapanga njama dhidi ya Rwanda, yeyote yule, atalipa gharama. Yeyote yule, ni suala la muda tu," alisema.
Mwaka 2019, mamlaka za Afrika Kusini zilishauri vibali vya kukamatwa kwa Wanyarwanda wawili wanaotuhumiwa kumuua Karegeya.
Mwanajeshi gani ndezi hivi?Alitafuta hifadhi nchini Uganda,
Wanaharakati huwa wanashangaza sana unakimbia rwanda unaenda uganda seriousNi mauaji ya kutisha kwa wapinzani wa watawala wa Africa Mashariki

Harafu stori unasema alikuwa kachero wa ngazi za juu🤣Wanaharakati huwa wanashangaza sana unakimbia rwanda unaenda uganda serious
Harafu stori unasema alikuwa kachero wa ngazi za juu🤣
Ni mauaji ya kutisha kwa wapinzani wa watawala wa Africa Mashariki

Cat aka PAKA ni noma sana ,yeye anakufuata hukohuko anakumaliza.Ni mauaji ya kutisha kwa wapinzani wa watawala wa Africa Mashariki

ni vizuri kufanya siasa za kistaarabu na itapendeza zaidiNi mauaji ya kutisha kwa wapinzani wa watawala wa Africa Mashariki

NIMEMWONA NI MPUMBAVU. HUWEZI KUWA NA AKILI TIMAMU UKAKOSANA NA KAGAME UKAKIMBILIA UGANDA. NI SUALA LA MUDA TU WANAKUCHOMA. HAKUWA NA INTELEJENSIA YA KIJESHI. BWEGE SANA HUYU. AMENIKERA.Jamaa ni mzembe sana. Unamkosoa Kagame halafu unakimbilia Uganda! Bado haitoshi unasafiri umbali wa zaidi kilomita 45 kwenda kukagua ujenzi wa nyumba!!
Wenzake wanaojitambua wamekimbilia Afrika ya Kusini huku wakiishi maisha ya kificho.