Mwanajeshi wa zamani na mkosoaji wa serikali ya Rwanda auawa chini Uganda

Mwanajeshi wa zamani na mkosoaji wa serikali ya Rwanda auawa chini Uganda

Mabeberu hawanaga rafiki wa kudumu,subiri wamalize ile reli ya Lobito corridor waanze kupakua madini ya DRC hapo ndio watamuona Kagame ni mzigo haufai kubebwa ni suala la muda tu. Tsishekedi sasa hivi anacheza kete zake vizuri na Trump kuna siku mambo yatapinduka tu.
Sidhani. Kesi ya Rwanda ni tofauti. Hawa jamaa waliopo nje wanataka kuirudisha Rwanda ilipotoka 1994 ndio maana jamaa anawashughulikia. Sasa mtu anapinga grand prix kufanyika Rwanda kwa maneno ya kebehi, Kagame hakuachi.
 
Back
Top Bottom