Mwanajeshi wa zamani na mkosoaji wa serikali ya Rwanda auawa chini Uganda

Mwanajeshi wa zamani na mkosoaji wa serikali ya Rwanda auawa chini Uganda

Ndo za Kagame izo Afrika mashariki sio salama tena kwa wanaharakati,kuna mpinzan wa Kagame alikimbia Rwanda akajakuomba hifadhi bongo kuw serikali itamlinda ila watu wa Kagame wakamuua hapa nchin,kuna mda nayakatia tamaa mambo ya imani haya ,mauaji km Kagame na samuya yanapukutisha raia wema na familia zao na bado ******* wanatamba tu,wanawawaisha wengine kwenye hukumu.
 
Jamaa ni mzembe sana. Unamkosoa Kagame halafu unakimbilia Uganda! Bado haitoshi unasafiri umbali wa zaidi kilomita 45 kwenda kukagua ujenzi wa nyumba!!

Wenzake wanaojitambua wamekimbilia Afrika ya Kusini huku wakiishi maisha ya kificho.
Mr slim ni balaa
Aliekimbilia SA walimfuata huko huko wakamuuwa
 
Back
Top Bottom