Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Daaah hayo marais ni mashetani
Ilikuwa bora ukoloni kuliko hawa kengeNi huzuni aisee.
Nchi za Afrika zimerudi zile zama za enzi za ukoloni yaani haziamini tena katika demokrasia wanasema wana tamaduni na demokrasia zao
Hizi nchi hizi za dunia ya tatu, zinaamini ujamaa , ujamaa haumini mfumo wa vyama vingi.
Leo mtu anapigania demokrasia akipata madaraka anageuka.
Ndo wale wale akili mgando wanajificha Ununio 😄 🤣 😂 😆NIMEMWONA NI MPUMBAVU. HUWEZI KUWA NA AKILI TIMAMU UKAKOSANA NA KAGAME UKAKIMBILIA UGANDA. NI SUALA LA MUDA TU WANAKUCHOMA. HAKUWA NA INTELEJENSIA YA KIJESHI. BWEGE SANA HUYU. AMENIKERA.
Tawala za kiafrika ni za kizandiki.ni tawala zinazojali masilahi ya watawala na familia zao.njia pekee ni kuasi dhidi ya tawala hizo sababu haziamini tena katika demokrasia.Ni huzuni aisee.
Nchi za Afrika zimerudi zile zama za enzi za ukoloni yaani haziamini tena katika demokrasia wanasema wana tamaduni na demokrasia zao
Hizi nchi hizi za dunia ya tatu, zinaamini ujamaa , ujamaa haumini mfumo wa vyama vingi.
Leo mtu anapigania demokrasia akipata madaraka anageuka.
Hamna, Robert kabera!!!Patrick Karegeya?
Majitu makatili Balaa ,mbegu ya ibilisi ipo Afrika aisee , mwafrika ni mbegu chafu kabisaIlikuwa bora ukoloni kuliko hawa kenge
Kabisa mkuu, ni sawa na kumkimbia simba anaekufukuza ukakimbilia mtoni kwenye mamba na huku unajua huo mto una mamba. Jamaa ndezi sana ila siku za Kagame sio nyingi maana US na EU wameshamchoka wanamlia timing ni suala la muda tu.Naye hana akili. UNAKIMBIA RWANDA UNAKIMBILIA UGANDA? HANA AKILI.
apumzike kwa amani lakini Uganda the shithole haikuwa sehemu sahihi ya kwenda kupata hifadhi.Alitafuta hifadhi nchini Uganda, akitoa sababu za mateso ya kisiasa
Wapo walio uwawa afrika kusini. Huko ndio shida kufa rahisi.Jamaa ni mzembe sana. Unamkosoa Kagame halafu unakimbilia Uganda! Bado haitoshi unasafiri umbali wa zaidi kilomita 45 kwenda kukagua ujenzi wa nyumba!!
Wenzake wanaojitambua wamekimbilia Afrika ya Kusini huku wakiishi maisha ya kificho.
Kagame mwenyewe kama museveni ni mgonjwa. Kwani, ataishi milele?Ni mauaji ya kutisha kwa wapinzani wa watawala wa Africa Mashariki
Kuna nini Africa Mashariki? Wapinzani wa watawala wanauliwa kila siku kwa style inayofanana.
Jamaa amechinjwa kama kuku👇
===========
View attachment 3693740
Askari wa zamani wa ngazi ya juu katika jeshi la Rwanda, ambaye aligeuka na kuwa mkosoaji mkubwa wa Rais Paul Kagame, amekutwa amekatwa kichwa nchini Uganda.
Robert Kabera, mwenye umri wa miaka 50, alikimbia Rwanda baada ya kutuhumiwa kwa unyanyasaji wa kijinsia, tuhuma ambazo alizikanusha.
Alitafuta hifadhi nchini Uganda, akitoa sababu za mateso ya kisiasa.
Msemaji wa polisi ya Uganda, Kituuma Rusoke, amesema leo Jumatatu kuwa kichwa cha Kabera kilikuwa bado hakijapatikana.
Mwili wake uligunduliwa na wakazi wa eneo hilo nje kidogo ya mji wa Kampala mwishoni mwa wiki.
Serikali ya Rwanda haijatoa maoni yake hadharani kuhusu mauaji hayo. Wakosoaji kadhaa wa Kagame wameuawa, wakiwa nchini Rwanda na nje ya nchi.
Mjane wake, Jeanne d'Arc Rwigema Uwizeye, aliiambia idhaa ya BBC kupitia ujumbe wa maandishi kwamba sasa anahofia usalama wa familia yake.
"Inatisha. Ninajisikia kama mwendawazimu, watoto na mimi hatuna usalama," alisema.
Kulingana na familia yake, Kabera alikuwa amesafiri kwenda kukagua eneo la ujenzi lenye umbali wa kilomita 45 hivi (maili 30) nje ya Kampala kabla ya kifo chake.
Kabera alijijengea umaarufu kama mwanamuziki na mtayarishaji wa maudhui kwenye mtandao wa YouTube, akivutia zaidi ya wafuatiliaji (subscribers) 144,000 kwenye chaneli yake iliyokuwa na video zaidi ya 800, nyingi zikiwa zinamkosoa Kagame na utawala wake.
Akijibu habari za mauaji yake, kundi la upinzani lililo uhamishoni la Rwanda National Congress (RNC) limetoa wito wa kufanyika uchunguzi wa kina na wahusika kufikishwa kwenye vyombo vya sheria.
Katika taarifa yake kwenye mtandao wa X, RNC ilisema: "Leo, familia yake inaomboleza, sauti yake imepotea, na Wanyarwanda walioko uhamishoni wanakabiliwa na swali la kutisha: wapi tunaweza kuwa salama?"
Kifo chake kinaongeza hofu kuhusu usalama wa wanaharakati wa upinzani wa Rwanda wanaoishi uhamishoni.
Mwaka 2014, Patrick Karegeya, aliyekuwa mkuu wa ujasusi wa Rwanda ambaye alisaidia kuanzisha RNC, alikutwa amekufa katika chumba chake cha hoteli mjini Johannesburg, Afrika Kusini.
Karegeya alitofautiana na Rais Paul Kagame na alikamatwa mara mbili, akitumikia kifungo cha miezi 18 jela kwa utovu wa nidhamu na utoro kabla ya kukimbilia Afrika Kusini mwaka 2007, ambapo aligeuka kuwa mkosoaji mkubwa wa serikali.
Kufuatia kifo chake, Kagame alitoa kauli zilizotafsiriwa kwa upana kama onyo kwa wakosoaji wengine.
"Mtu yeyote aliye hai ambaye anaweza kuwa anapanga njama dhidi ya Rwanda, yeyote yule, atalipa gharama. Yeyote yule, ni suala la muda tu," alisema.
Mwaka 2019, mamlaka za Afrika Kusini zilishauri vibali vya kukamatwa kwa Wanyarwanda wawili wanaotuhumiwa kumuua Karegeya.