Hata mm nimeconent sehemu kosa kubwa sana kwenda kwa m7Sasa huyu alikosea, Uganda si nchi salama ya kwenda. Museveni ni liuaji kama Kagame halafu unakweenda huko!
Hapo alikosea sana.
Anyway RIP mpiganaji.
Maria walimdaka sema kelele za wakenya zilisaidia akatupwa porini.Hata Maria na hao kina holds wajiangalie sana. Watawala wa kiafrika hovyo sana!
Tena huyu alikuawa anaoga bafuni.Patrick Karegeya?
Huyu nae ajielewi yani anaenda exile UGANDA kweli ni jau...Ni huzuni aisee.
Nchi za Afrika zimerudi zile zama za enzi za ukoloni yaani haziamini tena katika demokrasia wanasema wana tamaduni na demokrasia zao
Hizi nchi hizi za dunia ya tatu, zinaamini ujamaa , ujamaa haumini mfumo wa vyama vingi.
Leo mtu anapigania demokrasia akipata madaraka anageuka.
Tena Seth Sendashonga aliuawa nje ya geti la eneo la Umoja wa mataifa jijini Nairobi Kenya. Ajabu sana.Mwenendo huu umechukua muda mrefu. Seth Sendashonga, jijini Nairobi, mwaka 1998. Charles Ingabire, jijini Kampala, mwaka 2011. Patrick Karegeya, jijini Johannesburg, mwaka 2013, ambapo baadaye Afrika Kusini iliwafukuza wanadiplomasia wa Rwanda kutokana na kuwepo kwa kile kilichoelezwa kuwa ni “uhusiano wa moja kwa moja” na mauaji yake. Seif Bamporiki, Afrika Kusini, mwaka 2021. Révocat Karemangingo, jijini Maputo, mwaka 2021, alipigwa risasi mara tisa baada ya kuionya polisi kuhusu njama ya kumuua. Cassien Ntamuhanga, alitekwa nyara nchini Msumbiji mwaka huohuo.
Miji mikuu tofauti, lakini mbinu ni ileile: wakosoaji walio uhamishoni na watu wa ndani wenye taarifa nyingi za siri wanaondolewa kwa kuuawa, kwa namna zinazolenga kufanya mauaji hayo yaonekane kuwa hayahusiani na siasa.
Sasa huyu alikosea, Uganda si nchi salama ya kwenda. Museveni ni liuaji kama Kagame halafu unakweenda huko!
Hapo alikosea sana.
Anyway RIP mpiganaji.
PK kwa wapinzani wake ni sehemu/nchi chache sana utasalimika.Sasa huyu alikosea, Uganda si nchi salama ya kwenda. Museveni ni liuaji kama Kagame halafu unakweenda huko!
Hapo alikosea sana.
Anyway RIP mpiganaji.
Zinduka ndugu,malipo duniani sijui karma ni utapeli.Ndo za Kagame izo Afrika mashariki sio salama tena kwa wanaharakati,kuna mpinzan wa Kagame alikimbia Rwanda akajakuomba hifadhi bongo kuw serikali itamlinda ila watu wa Kagame wakamuua hapa nchin,kuna mda nayakatia tamaa mambo ya imani haya ,mauaji km Kagame na samuya yanapukutisha raia wema na familia zao na bado ******* wanatamba tu,wanawawaisha wengine kwenye hukumu.
Na alipouawa Kagame alisema ni kwa sababu amevuka mstari mwekundu.Tena Seth Sendashonga aliuawa nje ya geti la eneo la Umoja wa mataifa jijini Nairobi Kenya. Ajabu sana.
Hao mabeberu anakula nao vizuri hawakuhitaji kula hizo timing.Kabisa mkuu, ni sawa na kumkimbia simba anaekufukuza ukakimbilia mtoni kwenye mamba na huku unajua huo mto una mamba. Jamaa ndezi sana ila siku za Kagame sio nyingi maana US na EU wameshamchoka wanamlia timing ni suala la muda tu.
Yes hii kauli naikumbuka aise,hii dunia kuna binadamu si watu wa kawaida.Na alipouawa Kagame alisema ni kwa sababu amevuka mstari mwekundu.
Huenda si kwamba wanatoroka,unaachwa uende ili ufie mbali hapo lawama inakua ndogo.Mwenendo huu umechukua muda mrefu. Seth Sendashonga, jijini Nairobi, mwaka 1998. Charles Ingabire, jijini Kampala, mwaka 2011. Patrick Karegeya, jijini Johannesburg, mwaka 2013, ambapo baadaye Afrika Kusini iliwafukuza wanadiplomasia wa Rwanda kutokana na kuwepo kwa kile kilichoelezwa kuwa ni “uhusiano wa moja kwa moja” na mauaji yake. Seif Bamporiki, Afrika Kusini, mwaka 2021. Révocat Karemangingo, jijini Maputo, mwaka 2021, alipigwa risasi mara tisa baada ya kuionya polisi kuhusu njama ya kumuua. Cassien Ntamuhanga, alitekwa nyara nchini Msumbiji mwaka huohuo.
Miji mikuu tofauti, lakini mbinu ni ileile: wakosoaji walio uhamishoni na watu wa ndani wenye taarifa nyingi za siri wanaondolewa kwa kuuawa, kwa namna zinazolenga kufanya mauaji hayo yaonekane kuwa hayahusiani na siasa.
Mabeberu hawanaga rafiki wa kudumu,subiri wamalize ile reli ya Lobito corridor waanze kupakua madini ya DRC hapo ndio watamuona Kagame ni mzigo haufai kubebwa ni suala la muda tu. Tsishekedi sasa hivi anacheza kete zake vizuri na Trump kuna siku mambo yatapinduka tu.Hao mabeberu anakula nao vizuri hawakuhitaji kula hizo timing.
Wacha tuone mkuuMabeberu hawanaga rafiki wa kudumu,subiri wamalize ile reli ya Lobito corridor waanze kupakua madini ya DRC hapo ndio watamuona Kagame ni mzigo haufai kubebwa ni suala la muda tu. Tsishekedi sasa hivi anacheza kete zake vizuri na Trump kuna siku mambo yatapinduka tu.
Karegeya aliuwawa na kagame huko huko Afrika Kusini alikokimbilia.Jamaa ni mzembe sana. Unamkosoa Kagame halafu unakimbilia Uganda! Bado haitoshi unasafiri umbali wa zaidi kilomita 45 kwenda kukagua ujenzi wa nyumba!!
Wenzake wanaojitambua wamekimbilia Afrika ya Kusini huku wakiishi maisha ya kificho.
Kagame anailinda nchi yake, kwa mauaji yale ya kimbari, ana haki ya kuilinda nchi yake. Hao wapuuzi wanataka kuivuruga tena rwandaTawala za kiafrika ni za kizandiki.ni tawala zinazojali masilahi ya watawala na familia zao.njia pekee ni kuasi dhidi ya tawala hizo sababu haziamini tena katika demokrasia.