Mabeberu hawanaga rafiki wa kudumu,subiri wamalize ile reli ya Lobito corridor waanze kupakua madini ya DRC hapo ndio watamuona Kagame ni mzigo haufai kubebwa ni suala la muda tu. Tsishekedi sasa hivi anacheza kete zake vizuri na Trump kuna siku mambo yatapinduka tu.