kwakweli ni wengi sana kwenye majukwaa tofauti. JF raha sana.
pamoja na hayo, kipekee kabisa niwataje GTs kama @makirita(makala ndefu zenye mafunzo yaliyotukuka) @ mshana jr(huyu jamaa ana Phd kwa story za kichawi. asante ulinifunza mengi. ulifanya vizuri kule jf photos)
@Mzee tupa tupa wa lumumba,bibie
@Evelyn Salt @miss chagga (hawa wawili kule MMU walikua vizuri)
@nifah @Mchambuzi @Nguruvi3 @
MosDes
@Heaven Sent @Lizaboni @Mmawia @
MOTOCHINI
@Ben Saanane
@MUSSA ALLAN @Pasco(huyu jamaa nahisi ni ukawa aliyetukuka) @
Watu8
@Watu @Heaven
on Earth na
@Katavi @Rungu @moshi vijijini na wengine wengi.
nawatakia heri ya mwaka mpya 2016 nyote