MwanaJF aliyekuvutia kwa michango yake 2015

MwanaJF aliyekuvutia kwa michango yake 2015

Hata @JamiiForums naye ni member humu ndani na ana thread zake...hivyo ndio pekee aliyenifurahisha kwa kuwaunganisha watu wa aina mbali mbali hasa kile kipindi cha Uchaguzi na kupelekea kupata misuko suko ya kushambuliwa mara kwa kwa mara...hili nampa pole, pia nimpongeze kwa kuboresha view site yake na kuwa na muonekano unaovutia hasa kwa wengi tuliokuwa tunatumia Wap site kuna baadhi ya vitu tulikuwa hatuvipata sasa tuna vipata kwa uzuri.
 
GENTAMYCINE, HUYU MDAU ALINIFURAHISHA SANA KWA COMMENT & MADA ZAKE, hasa ile ya "uume wake umepata jeraha anataka kuweka plasta" nilicheka balaa hadi machozi yakanitoka.
 
matola, nifah, salary slip. Ila mods angetusaidia kuwataja kwa mujibu wa michango yake Hapana jukwaani.
 
Mimi nilifurahishwa na kila member aliyemtetea Lowassa wakati kipindi cha nyuma alikuwa akisema Lowassa ni fisadi!
 
kwakweli ni wengi sana kwenye majukwaa tofauti. JF raha sana.
pamoja na hayo, kipekee kabisa niwataje GTs kama @makirita(makala ndefu zenye mafunzo yaliyotukuka) @ mshana jr(huyu jamaa ana Phd kwa story za kichawi. asante ulinifunza mengi. ulifanya vizuri kule jf photos) @Mzee tupa tupa wa lumumba,bibie @Evelyn Salt @miss chagga (hawa wawili kule MMU walikua vizuri) @nifah @Mchambuzi @Nguruvi3 @
MosDes @Heaven Sent @Lizaboni @Mmawia @
MOTOCHINI @Ben Saanane
@MUSSA ALLAN @Pasco(huyu jamaa nahisi ni ukawa aliyetukuka) @
Watu8 @Watu @Heaven
on Earth na @Katavi @Rungu @moshi vijijini na wengine wengi.
nawatakia heri ya mwaka mpya 2016 nyote
 
Namkumbuka sana chief mkwawa kwa upande wa utaalamu wa simu,shukrani nyingi zimfikie popote alipo @CHIEF MKWAWA
 
Mimi nilifurahishwa na kila member aliyemtetea Lowassa wakati kipindi cha nyuma alikuwa akisema Lowassa ni fisadi!
Lowasa ndiye rais kipenzi cha kweli kwa watanzania hao wengine ni maigizo tu
 
Back
Top Bottom