chendelela
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 1,145
- 1,008
Pro CHADEMA waliowengi na baadh kutoka ugamban
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliona kama mmemtenga hahahaYericko Nyerere ni King
mimi nilivutiwa na mimi mwenyewe AmavubiNipende kuwa muwazi binafsi nilivutiwa na mada za mshana jr na nifar.
2015
Namkumbuka sana chief mkwawa kwa upande wa utaalamu wa simu,shukrani nyingi zimfikie popote alipo @CHIEF MKWAWAkwakweli ni wengi sana kwenye majukwaa tofauti. JF raha sana.
pamoja na hayo, kipekee kabisa niwataje GTs kama @makirita(makala ndefu zenye mafunzo yaliyotukuka) @ mshana jr(huyu jamaa ana Phd kwa story za kichawi. asante ulinifunza mengi. ulifanya vizuri kule jf photos) @Mzee tupa tupa wa lumumba,bibie @Evelyn Salt @miss chagga (hawa wawili kule MMU walikua vizuri) @nifah @Mchambuzi @Nguruvi3 @
MosDes @Heaven Sent @Lizaboni @Mmawia @
MOTOCHINI @Ben Saanane
@MUSSA ALLAN @Pasco(huyu jamaa nahisi ni ukawa aliyetukuka) @
Watu8 @Watu @Heaven
on Earth na @Katavi @Rungu @moshi vijijini na wengine wengi.
nawatakia heri ya mwaka mpya 2016 nyote
Lowasa ndiye rais kipenzi cha kweli kwa watanzania hao wengine ni maigizo tuMimi nilifurahishwa na kila member aliyemtetea Lowassa wakati kipindi cha nyuma alikuwa akisema Lowassa ni fisadi!
Amavubi vipi kuna uhusiano na kagame?mi
mimi nilivutiwa na mimi mwenyewe Amavubi