Nilivutiwa sana na MOTOCHINI kwa jinsi alivyokuwa ana mtetea zzk baada ya kufukuzwa toka cdmNiliona kama mmemtenga hahaha
Jinga lao mkuu upo mbona kimya ?@jinga laoJinga lao...... Kanivutia sana kwa mada za kipumbavu alizokua akixitoa!!
Ahsanta.Bila kumsahau mzee wa controversials, @kahtaan na mwenzake wa upande wa pili @Ishmael.
Pia @Mr Chin na @ Ocampo Four, bila kumsahau yule mwehu @Yericko Nyerere.
Tuliwadhibiti vilivyoDah! Mie Nyumbu kwa ujumla wao. Sijui walikuwa wanalipwaje kwani Hawa jamaa walikuwa hawalali aisee
Mcubic umesalimika na hatimae kuukwaa 2016?mungu ashukuliwe@Lizaboni @Mmawia @MOTOCHINI @Ben Saanane @MUSSA ALLAN @Pasco @Watu8 @Watu (huyu icon yake inaniacha hoi @Heaven on Earth na @Katavi