MwanaJF aliyekuvutia kwa michango yake 2015

Namkumbuka sana chief mkwawa kwa upande wa utaalamu wa simu,shukrani nyingi zimfikie popote alipo @CHIEF MKWAWA
Chief mkwawa amekuwa msaada kwangu hasa nilipokuwa nikiuliza maswali kwenye jukwaa la Technology, anaelekeza vizuri sana. Ufanikiwe sana mwaka huu
 
Chief mkwawa amekuwa msaada kwangu hasa nilipokuwa nikiuliza maswali kwenye jukwaa la Technology, anaelekeza vizuri sana. Ufanikiwe sana mwaka huu
Kweli kabisa jamaa yupo vizuri sana
 
Aksante sana @nkuru pia nami nikutakie heri Na fanaka mwaka 2016
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…