MwanaJF aliyekuvutia kwa michango yake 2015

Mimi watu wote wa JF sababu kuna watu wanafundisha humu na kuna watu wanakera humu huo mchanyato unafanya niipende JF.
 
Made ma new yr (kuvutiwa)......bado sijavutika ntarudi tena..kwikwikwi

Haooe new yr tm
 
Nawashukuru wote waliovutiwa na michango yangu humu,nipo safarini kwa sasa....
Kwa heshima na taadhima nitakapofika home na kutuliza akili nitawataja wangu sio tu walionivutia,bali walionisaidia kwa namna za kipekee kabisa.
 
Ukinisahau wallah ntaijaribu sumu kwa kuionja.

Haya mfahamishe babu uko kwenye safari gani?? Ya matumauni au ya kwenye unajimu?
 
Ukinisahau wallah ntaijaribu sumu kwa kuionja.

Haya mfahamishe babu uko kwenye safari gani?? Ya matumauni au ya kwenye unajimu?
Uwiiiiiii ndio maana nimesema nikifika home nitulize akili niwakumbuke wote maana ni lawama hizo.
Safari ya kikazi mkuu.
 
Sasa watu wa misaada forever tutakuwa grateful kwa akina@ chief mkwawa @ mzizimkavu@makirita@mwllrct .
Na upande wa ubuyu aah @warumi hana mpinzani huyu akikosekana jukwaani siku yangu inaingia magharibi mapemaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…