Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Mimi watu wote wa JF sababu kuna watu wanafundisha humu na kuna watu wanakera humu huo mchanyato unafanya niipende JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnampaisha sana huyu demu @Evelyn Salt... Mtafanya anipandishie bei ya kiungo cha uzaziKwa kweli @Evelyn Salt yupo unique aisee......lazima utatabasamu tu ukisoma koment yake....ila hubeba na yshauri/ujumbe
Sasa kwanini unaipigia bahati yako penalt? Hutaki kumiliki vitz?
Haya kila la kheri... katafute joka la KibisaMmmh! Sitaki bazazi.
Ahsanta.
Lkn @ishmel yuko Jela mwaka huu.
Mwaka mpya kualia nyuma ya Nondo.
Likewise samaritan.Kipekee, nikutakie wewe pamoja na familia yako heri ya mwaka mpya 2016.
Hahahaaaa! Hivi babu mbona unaniombea mabalaa tu we mzee?? Mzee mwenzio @Kaizer kazimia wapi?
@Asprin na @atoto, nawaangalia tu je, mnanisaliti kwa kunibusu? Subirini. Maana mmesahau kuwa uliyeokota naye kuni......@Kaizer anatumikia adhabu ya chama. Amemmegea mwanachama mwenzake bila kuzingatia rule #3.
Shemeji nielekeze njia hiyo hiyo
Ukinisahau wallah ntaijaribu sumu kwa kuionja.Nawashukuru wote waliovutiwa na michango yangu humu,nipo safarini kwa sasa....
Kwa heshima na taadhima nitakapofika home na kutuliza akili nitawataja wangu sio tu walionivutia,bali walionisaidia kwa namna za kipekee kabisa.
Uwiiiiiii ndio maana nimesema nikifika home nitulize akili niwakumbuke wote maana ni lawama hizo.Ukinisahau wallah ntaijaribu sumu kwa kuionja.
Haya mfahamishe babu uko kwenye safari gani?? Ya matumauni au ya kwenye unajimu?