TANZIA MwanaJF Dada Niah amefariki dunia akipatiwa matibabu Dodoma General hospital

R. I. P
 
Kumbe humu tunasomeka hadi na Mabalozi na Waambata wake.

Jf heshima sana
 
Watu wema wanazidi kupungua.
Vifo haviwaoni wasiojulikana kwani?

Poleni kwa Ndugu na Marafiki wa karibu.
 
Natumaini alipata nafasi ya kujikabidhi mikononi mwa Mungu alipokuwa hai. Naamin tutakutana nae katika uzima wa milele. Apumzike kwa amani mama mzuri.
 
Natumaini alipata nafasi ya kujikabidhi mikononi mwa Mungu alipokuwa hai. Naamin tutakutana nae katika uzima wa milele. Apumzike kwa amani mama mzuri.
Mtakutana???

What the hell is this

Kwamba watu wote waliokufa ulikua unawafaham una amini mtakutana tena?

The fu*ck
 
Pole wafiwa, Pumzika Kwa amani mpendwa wetu πŸ™ dada yetu, ni uzuni kwetu sote.

Chunya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…