Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Amheshimu mkewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujamuona hapo?Nassari ana mke?
Hakuna kitu kinaitwa kubariki ndoa katika kanisa katolikiJamaa si tayari kashazaa mkewake ana mtoto huyu.Hivi KKKT nao kama Katoliki kumbe eeh unabariki tu ndoa na sio kufunga ndoa
Unataka wafunge ndoa uchi kwa sababu maisha ni magumu?hongera zake...Je ugumu wa maisha wanaousema wanachadema ni upi ikiwa makamanda wanaoa kifahari kabisa??
babu zetu walioishi kwenye umasikini walifunga ndoa uchi?Unataka wafunge ndoa uchi kwa sababu maisha ni magumu?
I'd suggest shirt button hidden camera or spy pen instead of spygogoz....
....spaigogoz
Siyo kila anayevaa koti jeupe ni daktari mkuuHuyo "shekhe", wa kwanza kushoto kwenye picha ya katikati, anatafuta nini hapo?
Wewe na maiti utofauti ni kuwa wewe unasukuma damu....pumbafu kabisanimemuona ben saanane kwa mbali hapo ukumbini
hapo chacha....Swali la kipuuzi sana unaweza kusimamia ndoa bila kuwa mke wa ndoa?
mkuu inawezekana siyo Shekhe huyo..Huyo "shekhe", wa kwanza kushoto kwenye picha ya katikati, anatafuta nini hapo?
Acha ushamba ww!..vazi la kinigeria hicho.Huyo "shekhe", wa kwanza kushoto kwenye picha ya katikati, anatafuta nini hapo?