Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri wangu
Kama hakuna ulazma wa kupanda boda boda au huna haraka ya unakoenda tafadhali usipande boda boda. haki ya nan hz boda znamaliza vijana wenzetu.
Kuanzia leo, nimekoma na nitauzingatia sana huu ushauri.
Wife amekua akinikataza sana matumizi ya bodaboda, na wakati mwingine amekua akinisisitiza kupanda daladala kama naona gari yangu inamatatizo.
Pumzika kwa amani Rama