TANZIA MwanaJF mwenzetu, Rubawa amefariki dunia

Siku nikifa ole wake mtu abandike picha zangu hapa, ntakuwa namktokea kila siku usiku hatalala.

R.I.P Rubawa.
 
Kuna baadhi ya watu akili zao bado zipo chini mkuu wala usihangaike nao.
 
Kuna vifo vya Mungu na vifo vya wakuu wa giza...

Kuna watu Roho zao zinatumikishwa bado duniani na wakuu wa giza...

Watu hufikiri vifo vyote ni vya Mungu...

NB: Watu wengi hawajafa kifo cha Mungu
Kwahiyo mungu na yeye anaua ?


Pumbavu na jinga kabisa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…