TANZIA MwanaJF mwenzetu, Rubawa amefariki dunia

TANZIA MwanaJF mwenzetu, Rubawa amefariki dunia

Bwana Hamidu Rubawa amezikwa kijijini Yombo, wilayani Kisarawe.
Vijana tuhangaike na maisha tukumbuke ibada,
Mwanetu tumeenda kumwacha porini huko bila ndugu, jamaa wala chochote. Ni yeye na Mungu wake.
Innaa lillahi wainna ilayhi raajiun.
 
Back
Top Bottom